Tanesco na serikali ya jk wameishiwa wanawadanganya watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco na serikali ya jk wameishiwa wanawadanganya watanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Dec 25, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tusome Hii article Hapo Chini Kutoka AP. Ukisoma Hizi Habari Kila Leo Matatizo ya Umeme Tanzania Utakuta Uongo na Majibu Yasioeleweka. Leo Hii Tanzania Sehemu Nyingi Hakuna Umeme na Asilimia Zaidi ya 99%, Wananchi Waliokuwa Wanapata Umeme Kabla ya Uchaguzi Utakuta Giza Limeingia. Kwa Watanzania Wasio na Uwezo Kama Mafisadi Umeme Unapatikana Average ya Masaa Manne Katika Masaa 24 ya Siku. Wafanyabiashara Wadogo Kama Wafugaji ni Pigo Kubwa, Gharama za Majereta Hawana na Bidhaa Kama Maziwa Vinaendelea Kuharibika na Umaskini Unatanuka. Hii ni Aibu Kubwa kwa Serikali ya Tanzania. Upande wa Mafisadi na Viongozi wa Serikali Wao AC na Luxuries Mtindo Mmoja, Ukiuliza Wanakuambia Wao ni Muhimu Kuongoza Nchi! Kitu Kikubwa Wananchi Tunajua ni Kwamba Serikali Haina Pesa Hata Wadanganye Vipi. Kuna Habari Zitatoka Hivi Karibuni na Siri Zitafichuka Tena Pesa za Tanesco Zimeshaliwa Siku Nyingi na Wamelipwa NEC na Wachakachuaji Kura wa JK. Serikali Ilikuwa Imeweka Pesa Kwa Ajili ya Tanesco ili Kuweza Kununua Mafuta na Uendeshaji na Marekebisho ya Mitambo. Wamekula na Sasa Matumbo Moto Tena. Hivi Leo Tanesco Inategemea Kununua Mafuta kwa Ajili ya Majenereta, Uzalishaji Kutoka Songosongo na Uzalishaji Kutoka Majini. Uzalishaji wa Umeme Kupitia Majenereta Ndio Umekuwa Ukitupa Umeme na Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Tanzania Inashindwa Kununua Mafuta Kutokana na Ukosefu wa Pesa, Hii Inamaanisha Serikali Imeishiwa na Pesa za Kujiendesha. Watanzania Tufunge Mkanda wa JK, CCM na Mafisadi Mpaka Tukapo Pata Pesa kwa Donors. Kutokana Matumizi Mabaya na Kufichwa kwa Documents za Matumizi Hasa Bajeti ya Uchaguzi Tutegemee Kupunguzwa kwa Pesa Kutoka Wafadhili Wetu African Bank, IMF, World Bank na Donors Wengine. Kilichobaki Serikali Imeanza Mipango ya Kukopa Pesa Kutoka kwa Mkapa, Rostam, Wahindi-Wezi, JK, Lowasa, Chenge na Chama-CCM.

  Tanzania imposes Christmas power cuts
  Fri Dec 24, 2010 1:45pm GMT
  * Millions face blackouts during Christmas, New Year
  * Power cuts run from 8 a.m. (0500 GMT) daily for 10 hours
  * Repairs on natural gas well cuts supplies to power plants

  DAR ES SALAAM, Dec 24 (Reuters) - Tanzania's state-run power utility said on Friday a shortage of natural gas supply to turbines has led to a 40 megawatt deficit on the national grid and forced it to ration power for up to 10 hours a day. The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) said the latest power rationing was occasioned by repairs at a well in the Songo Songo natural gas field off the coast of Tanzania, which supplies power plants in Dar es Salaam. "One of the five wells that are producing gas at the Songo Songo island has been shut down for routine maintenance. This has caused a shortage of natural gas supply to power stations in Dar es Salaam," Badra Masoud, TANESCO spokeswoman, told Reuters. "There is a 40MW shortfall in the national power grid as a result of the decline in gas supplies. We expect the load shedding to continue until mid January."
  Masoud said the power cuts would run from 8 a.m. local time (GMT) to 6 p.m. local time for domestic consumers and 6 p.m. to 11 p.m. for industrial users. "We have been forced to start rationing power because we have no surplus or reserve electricity. All the power generated by TANESCO is used up in the national grid," she said. "We will ensure sensitive areas such as hospitals and factories are not affected by the power rationing." The country produces most of its electricity from hydro dams but generates close to 300 MW using natural gas from a deposit on Songo Songo. Tanzania has energy demand close to 900 MW capacity, but produces less than 800 MW. Acute power shortages in Tanzania have frequently resulted in rolling blackouts, which are undermining economic growth. Only 14 percent of its 40 million people are hooked to the grid, while demand grows by 10 to 15 percent annually. (Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; editing by George Obulutsa)
   
 2. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Waache wakome wao si waliona ni bora kutumia pesa zote zile kutengeneza mabango badala ya kuboresha huduma za jamii, hivi kweli ccm ilihitaji nguvu yoye ile kujipigia kampeni, maana yake ni kwamba kwa kipindi chote cha utawala chama hakijaweza kuwa na track record inayokubalika kwa wapiga kura.
   
 3. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi nashangaa haya yote yanatokea lakini bado watu wanakuambia SII SISI AIM nambari one!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!iNASIKITISHA,inachefua,INAKATISHA TAMAA,inaumiza sana,
  '''' inaniuma saaaana mtoto wa temeke inaniuma saaaaan...Walimwenguu wabaaaaya aaahhh wanaiumiza yooooyooooh Inaniuma saaaaaaaaana Tanzania yetu eeeh Inaniumaaa saaaana ah! mtoto wa mwenzetu maisha yangu duni lakini bado mafisaaaadi iiih wanatukamuaaaaah Mara DOWANS, Maraaah EPA,,,,,,,MARA ufisaaadiiiiih Inaniuma saaaana eh.....Mooooola mola tazaaah Tanzania Inavyoliwa na hawa SIiii iii siiii siiii em! Inaniuuuuma saaaana aaaah!
   
Loading...