Tanesco na serikali mtuonee huruma wananchi wenu

Tanesco na serikali mtuonee huruma wananchi wenu

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,827
Reaction score
2,027
ndugu zangu kama mjuavyo serikali ndio viongozi wetu.......tunaomba mtuonee huruma na huu mgao unaoendelea nchini na isitoshee sehem mnazoona zinawaingizia kodi nyingi mbona hamkati kwamba wao iyo gesi haiwahusu na mitaa mnayoishi pia mbona umeme haukatiki ni kwamba hamjui kero na shida tunazopata wananchi wenu....sio siri mnatuumiza sana na huu mgao, kama hapa morogoro mgao umeanza tangu tarehe 13 mwezi july, mnategemea sisi tutaishi vipi ...

ngoja 25 oct ifike ndio mtajua hasira zetu wananchi mmetutesa sana sasa inatosha..

namaliza kwakusema viva lowasa... kura yangu ni kwako ENL..
 
ngoja 25 oct ifike ndio mtajua hasira zetu wananchi mmetutesa sana sasa inatosha..

namaliza kwakusema viva lowasa... kura yangu ni kwako ENL..

Hili ndilo la muhimu zaidi........bado siku.....tufanye siku 23............
 
Mmmmmh! Tumeshinda bila umeme, mpaka sasa hatuna umeme

kawaida yao hao mm kivyangu nmewachoka kama nn wanakata umeme saa moja wanarudisha saa saba usiku hawana huruma na mda huohuo kuna maeneo umeme hawajawahi kukatiwa kwamba wao mitambo haiwahusu
 
Wanafunzi wako kwenye maandalizi ya mitihani ya mwisho, lakini hata hilo hawalioni???
Bado tutegemee kupata wataalam hapo??
 
Huna haja ya kuwaomba huruma, ni haki yako kupata Umeme, kama wakigoma basi wapige chini tarehe 25 Oktoba 2015 kwa kutowapigia kura.

Chagua Lowassa Chakua Ukawa
 
Jamani tusisahau kuongea na ndugu zetu vijijini. ccm wakipita tena twafaaa
 
Kwakweli umeme umekua kero.watanzania tuna paswa tutafakari kwa kina.ccm imeshindwa kutuongoza Tunahitaji mabadiliko
 
Jaman tanesco Mbona wametoa taarifa ya kuwashwa kwa mitambo ya gesi na itakamilika Mwez huu wa tz wenzangu Tanesco pia Walidai na endapo zoez hilo litakamilika bhas kutakuwa na Umeme wa uwakika na Mwez wa kumi ndo huu tusubili kuwa na Umeme wa Uwakika
 
25/10 amka ukiwa na hasira nenda kachinje.Tumewavumilia vyakutosha
 
Ndo vizuri wakikata ili mjue ccm ni ile ile na usipokoma nenda tena kawape kura yako hiyo tarehe 25 October ili wakumalizie kabisa.
 
Huku pia hamna,yaani hasira zinazidi maradufu dhidi ya CCM!
 
chinja tu hao wametunyanyasa vya kutosha ,hawatujali,hawatuthamini wanatuita malofa na wapumbavu ,huu ndio ulikuwa wakati wao kubembeleza kura lkn wanajua malofa tutawachagua tu
 
Nimeamua kununua Sola tu niachane na huu ujinga.
 
Endeleeni kuichagua CCM mshike adabu zenu.
 
Sababu ya kero ya umeme tu ni bora nigawe bure kijambio changu kuliko kuwapa kura yangu ccm.
 
jamani huku CCM ni Presha na joto tupu, siku zinahesabika Za Kuanza kutumia Anga La Ukawa Chini Ya Brigedia Kamanda Mkakamavu Sekta Zote Mh. LOWASSA!...kuanzia siku hiyo nitaishi kwa furaha Na amani ndani ya nchi yangu, na kuzidisha mahaba kwa nchi yangu!

AHSANTE! LOWASSAAAA.....AHSANTE BABAAAA.....! WEWE NI RAISI WETU NA TUNAKUKUBALI!!
 
Back
Top Bottom