TANESCO na NMB mnakeraaaaa

TANESCO na NMB mnakeraaaaa

kamojatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
723
Reaction score
689
Kila nikinunua LUKU kwa simu aidha luku inachelewa au pesa inapotea bila kupata huo umeme. Pili, nawatahadharisha wateja wa NMB msithubutu kununua umeme kupitia NMB mobile kwani watakuletea meseji yenye namba za umeme itakayo-display kwa sekunde tano then itafutika na haitarudi tena kamwe! Mi nilishaliwa 15,000 na 10,000 nikakoma kabisa.
 
Hivi hakuna uwezekano wa kuruhusu makampuni mengine ya kufua Umeme na kusambaza kwa watumiaji maana Umeme ni maendeleo kwa kuwategemea TANESCO wanaobolonga kila kukicha tutakwama siku zote. Iwe kama walivyoruhusu makampuni ya simu hivi sasa nyodo za ttcl zimeisha hawana jeuri tena.
 
Back
Top Bottom