TANESCO mpo wapi?

Hizi sasa mnatafuta laana. Huu upuuzi umeweka wapi ktk serikali yetu ya muungano?
 
Hiyo sio nguzo ya tanesco ni nguzo ya nyaya za simu zile zinazoenda sambamba na reli ya mkoloni.
 
Hizi sasa mnatafuta laana. Huu upuuzi umeweka wapi ktk serikali yetu ya muungano?

Sio wakati wote mabandiko yawekwayo hapa yanamaanisha hali halisi...

Hiyo picha huenda hata isiwe ni Tanzania....pia uandishi wa heading waonesha jamaa kaamua kuchangamsha kijiwe tu.
 
If this's true...najaribu kufikiria uwiano wa kani baina ya hizo nyaya ukichukulia kwamba lililokuwa egemeo limegeuga kuwa mzigo.
 
...loh tanesco kwa ubunifu nawasifu sana...
 
Hapana hapa ngoja niwe mgumu kidogo kuamini ninachokiona .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…