TANESCO mnapaswa muwe active na habari za utapeli si kukaa kimya

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Kuna habari zinaenea kwenye mitandao ya kijamii ikihususha TANESCO kutoa ofa ya unit za bure kwa wateja wake wapya na wazamani na link wameweka ya kulog

Kama kawaida watanzania wenzangu wanapenda mtelemko wanaanza kulog kwenye link za utapeli

Tunataka mashirika na serikali kuwa makini kufuatilia habari fake na kuzikanusha ili kuepuka utapeli

*KAMPUNI YA UGAVI UMEME TANZANIA (TANESCO) VITENGO 90 VYA UMEME BURE *

TANESCO inasambaza uniti za umeme bure zenye thamani ya TSh 9,750 kwa wateja wote wapya na wa zamani kusherehekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Pata yako sasa. KRISMASI NJEMA KUTOKA TANESCO

BOFYA HAPA CHINI KUPATA

 
Mkuu siku zote ukiona taarifa either inahusu tanesco au TRA wewe nenda kwenye page yao official halafu uthibitishe kama ni kweli ama si kweli.
 
Back
Top Bottom