Mkuu huku kwetu wanafanya mgao wa nyumba kwa nyumba, unaona kwa jirani kuna umeme kwako hakuna, kwa jirani mwingine unaona umeme unawaka kwa anayefuatia hakuna hadi unajiuliza hiki kinachofanyika ni kitu gani, bora turudi kuchaguana upya, nchi inakuwa kama haina viongozi.