Leo ni siku ya 3 tangu umeme ukatike Maeneo haya ya BUGURUNI, sasa tumeshindwa kuelewa Kuna Hitilafu, au Mgao siku tatu tatu au wamejisahau kuturudishia.
Yakiitishwa maandamano kuna watu watasema kuna chama fulani kinataka kuharibu 'amani' yetu. Poleni sana, lakini serikali iko kwenye likizo ndefu mpaka 2015.