Tanesco mmerogwa na nani?

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,772
23,163
Nimekuja zangu sehemu fulani wilaya ya Temeke kusimamia mafundi kazi moja iliyohitaji umeme........ Kufika naambiwa TANESCO wazee wa kuangaza maisha wamekata umeme toka saa tisa usiku.......kuwapigia TANESCO wanadai kuna hitilafu hawajui iko wapi hivyo hawajui kama watarudisha au la......

Ikabidi nitafute alternative ili kazi iendelee......(hii inamaanaisha kuingia gharama za ziada)

Hivi wazima nyie??????? Tutafika kweli kwa staili hiyo?


Aaaaaargggggh
 
yaani nilikuwa kigamboni wanasema toka leo usku duu sijui wanaishije uko temeke Mh Dr Fau Ndugulile
vipi aisee mkuu..
 
nimekuja zangu sehemu fulani wilaya ya temeke kusimamia mafundi kazi moja iliyohitaji umeme........ Kufika naambiwa tanesco wazee wa kuangaza maisha wamekata umeme toka saa tisa usiku.......kuwapigia tanesco wanadai kuna hitilafu hawajui iko wapi hivyo hawajui kama watarudisha au la......

Ikabidi nitafute alternative ili kazi iendelee......(hii inamaanaisha kuingia gharama za ziada)

Hivi wazima nyie??????? Tutafika kweli kwa staili hiyo?


Aaaaaargggggh
WEWE ANGALIA RANGI ZA MAJENGO YAO halafu utagundua wako kwaajili ya nani na kwa nini wao ni wazembe ! rangi yao hujieleza yenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom