Tanesco mlaaniwe

Samia is a failed President
 
Hakika,

Leo Jumapili watu wanapumzika nyumbani mnawakatia umeme?!

Ila nyie
 
Ndugu zangu nimetoka kuongea nao wanasema wamechoka kukosekana kwa umeme.

Jumapili badała ya kutengeneza Juisi nzuri unywe umeme hakuna,

Ulale upumzike uwashe AC umeme hakuna,

Uangalie TV upate Habari za ulimwengu umeme hakuna,

Kwa ważalishaji mali kama vile saluni, grilling , n.k umeme hakuna,

Jamani !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…