Tanesco mlaaniwe

Tukipata unafuu wa kipato, tujitahidi kuweka backup ya umeme wa solar. Huwa unasaidia sana kupunguza hizi stress za TANESCO.
Na hilo ndio lengo lao kwasababu sio kweli kama hawawezi kutatua hilo tatizo ila wanataka tuingie kwenye mfumo kama hvyo kununua solar na ma generator ili mambo yao yaende.
 
Tanesco hao ni kununua umeme mwingi tu kama.wa kiwandani hawaaminiki hao.
 
Sehemu gani mkuu?? Mbona hapa kwetu Mikanjuni upo??
Walikuwa wanahamisha nguzo za umeme barabara ya pangani kuanzia Tagasisi.........mpaka saa 2 usiku na toka asubuhi.......
 
Tukipata unafuu wa kipato, tujitahidi kuweka backup ya umeme wa solar. Huwa unasaidia sana kupunguza hizi stress za TANESCO.
Kuna backup system moja nimeona jamaa huko insta wanatangaza ukitaka wanakufungia sema bei zake zimeshiba ni 6 ml na nyingine ya 12 ml. Ile umeme ukikata inasukuma mzigo kama kawaida kuanzia a.c mafrini na kadhalika kwa zaidi ya saa 24.a
Yenyewe inakuwa inahifadhi umeme kutoka umeme wa Tanesco si kwamba ni ya solar
 
That is damn expensive for domestic use of a family of 4
 
Haha..kuna jirani yangu aliibiwa tank la maji. Kwa kuwa lilikuwa na maji walikuja na kigodoro wakakiweka chini ya koki wakafungulia maji ili yakiwa yanamwagika mwenye nyumba asisikie. Jirani anaamka asubuhi anakuta godoro bichi na tank wameenda nalo
Ah ah nimecheka sana Yani ilo tukio walilipanga muda mrefu sana hadi waje na gorodo sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…