TANESCO-mainjinia wenye majibu ya kisiasa!

TANESCO-mainjinia wenye majibu ya kisiasa!

TANESCO sio chama cha siasa na haihusiani na siasa.

TANESCO ina Engineer wazuri sana na watendaji, hata Mhandisi Mramba ni mtendaji sana kwanza pia anahofu ya Mungu.

Shirika linaharibiwa na wanasiasa sio watendaji wa TANESCO, watendaji wapo vizuri[/QUOTE

Mramba ameshindwa kutofautisha siasa na utaalam ndio maana tunasema ameshindwa kazi aondoke au aondolewe, haiwezekani umeme unakatika kila wkati halafu yeye na wewe wote mnakaa ofisini kupokea mishahara, kwanza mpo wengi sana hamna mnalofanya
 
Acha kujisumbua kwa kupiga majungu, TANESCO sio cha SIASA na haihusiani na chama chochote, TANESCO ni Shirika la umma na watendaji wake wapo kwa ajiri wa kutoa huduma kwa jamii na sio kufanya siasa.

Unauhakika wapo wengi? Unafahamu mahitaji ya rasilimali watu Shirika linaohitaji?

Naomba unitajie TANESCO inajumla ya wafanyakazi wangapi ili tuone huo wingi unaousema..
 
Leo hii tunaambiwa sababu ya kupandisha bei ya umeme ni kupanda kwa gharama ya mafuta ilihali tuliwahi kuambiwa kuwa kwa sasa umeme kwa kiasi kikubwa umeme wa sasa utatokana na gesi.

msimamo wangu ni ule ule dhidi ya Tanesko kuwa kuna mainjinia wanasiasa.

Sikubaliani kamwe na hoja za kupandisha gharama za umeme.
 
Tanesko mnamshika nyau sharubu??
 
Kuna deal la nani linataka kupigwa?
 
Hii hali kwa nini ipo hivi???
 
Tangu 1994 .....Rais wote na Waziri woite wa nishati madini wameshindwa Tanesco sembuse Saa 10p kwa miezi 6 ? Amlete Ami kutoka mchamba wima tuone hiyo sio mazingaombwe atiii
 
Back
Top Bottom