funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,400
- 31,909
Inanisikitisha sana kuona wanasayansi na mainjini waliobobea wa shirika la TANESCO wakijitokeza kwenye vyombo vya habari na kuelezea ukosefu wa umeme kisiasa.
Mkurugenzi wa TANESCO anakuja kwenye media na kupiga porojo za kuwafukuza watumishi wenye lugha isiyoridhisha huku akiwaacha wale wanaofungulia maji mtera.
Mkurugenzi wa TANESCO anakuja na majibu rahisi eti miuondo mbinu iliyochoka ndio chanzo cha umeme kukatika kipindi hiki cha uwepo wa maji.
Mkurugenzi huyu huyu alikuja na kisingizio cha ukosefu wa maji mtera kipindi cha kiangazi ndio sababi ya kukosekana kwa umeme.
Ni Mkurugenzi huyu huyu anayeshindwa kuelezea kwa nini umeme unakatika maeneo yaliyowekewa nguzo mpya na nyaya mpya hivi karibuni.
Ni Mkurugenzi huyu huyu anayeshindwa kuelezea kwa nini umeme unakatwa usiku wa manane hata kama hamna matengenezo yanayoendelea.
Mkurugenzi huyu huyu anayeshindwa kuelezea kwa nini umeme haukatiki siku muhimu kitaifa mfano kuapishwa kwa rais lakini leo unakatika hovyo despite miundombinu kuwa ni ile ile au mipya zaidi.
Ni Mkurugenzi huyu huyu anayeshindwa kutuelezea kwa nini nguzo zitoke SA badala ya Tanzania.
Ni Mkurugenzi huyu huyu ambaye aliongeza makali ya ukataji umeme kipindi cha kampeni za Magufuli.
Ni Tanesko hii hii iliyokuwa chini ya waziri Chawenee ambaye ni Team Lowassa.
Ni Mkurugenzi ambaye anatuambia kuwa uwepo wa umeme ni ndoto Tanzania...hii ni kwa sababu ya miundo mbinu chakavu.
NI Mkurugenzi huyu huyu ambaye anaweza kutuhumiwa kusababisha vifo mahospitalini kwa sifa yake kuu ya kukata umeme.
Ni Tanesko hii hii chini ya Muhongo tuliona umeme ukiwa stable bila kukatwa pamoja na miundo mbinu chakavu.
hebu tuijadili jipu hili korofi la TANESCO.