TANESCO Lindi inawatesa wananchi, TAKUKURU iko kimya

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Mheshimiwa Rais nimelileta kwako kwa sababu nina Imani utatusaidia

Mheshimiwa Raisi wanavijiji wamelipia gharama zote za umeme zinazotakiwa Lakini ili kupata umeme unatakiwa kulipa tena kati ya Laki 3 mpaka 5 ambayo kimsingi ni Rushwa. Haya nimeyaona kwenye vijiji vya chiuta na Nyundo 1(Mnyambe)

Nimalize tu kwa kusema tunakuomba uwaamuru takukuru kufuatilia hili vinginevyo yatakuwa ni mateso makubwa kwa wanavijiji.
 
Lipa wewe hizi sio zama za magufuli Takukuru wenyewe ni wala Rushwa
 
Huo ni Ujembe uliompelekea Rais na hapa ume C.C; au Unategemea katika pita pita zake atakuta huu ujumbe ili aufanyie kazi ?

C.C TANESCO
 
Mheshimiwa Rais nimelileta kwako kwa sababu nina Imani utatusaidia

Mheshimiwa Raisi wanavijiji wamelipia gharama zote za umeme zinazotakiwa Lakini ili kupata umeme unatakiwa kulipa tena kati ya Laki 3 mpaka 5 ambayo kimsingi ni Rushwa. Haya nimeyaona kwenye vijiji vya chiuta na Nyundo 1(Mnyambe)

Nimalize tu kwa kusema tunakuomba uwaamuru takukuru kufuatilia hili vinginevyo yatakuwa ni mateso makubwa kwa wanavijiji.
Tafadhali tupatie taarifa kamilo hata dm za

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Ni nani anayetoza fedha

Je zinalipwa kwa huduma gani?

Tupo kukusikiliza na kufanyia kazi
 
Mwambie Makamba ameamua k uwa Bubu kuhusu mgao wa umeme....hata ratiba hakuna, watoto vichanga (njiti) vinakufa kwenye incubator kila siku jamani!..Roho za hawa watoto zitawalilia wewe na waziri wako hadi kizazi chenu cha kumi!
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Jibuni swali sio maelezo Shirika lenu bora apewe mtu binafsi aendeshe sio ninyi mmeshindwa Rushwa kila kona bora nitumie Solar.
 
Sio Lindi tu hata nilipo hilo swala lipo sana
[emoji3591] Application bure
[emoji3591] Survey 60 hapo kwa nyumba zilizo ungana...ramani moja separate mita
[emoji3591]Kama eneo lako linahitaji nguzo jipange... nguzo moja mpaka laki mbili...mm mbili nilitoa 350,
[emoji3591] Niliambiwa nikipata nguzo mita sio tatizo ila kwanzia mwenzi wa kumi mpaka leo hata contral namba sijatumiwa. ... nikifatilia naambiwa anatakiwa kuja mtu site akaahakikishe nguzo kama kweli zipo ndo nitumiwe contral no (anae nambia hivyo ndo alie niunganisha na wenye nguzo)..garama za kuja site elfu 30
[emoji3591] Nimefatilia nimechoka ... Imebidi nianze ku apply upya tena nione application ipi itafanikiwa haraka..tena nimegarimika
 
Mwambie Makamba ameamua k uwa Bubu kuhusu mgao wa umeme....hata ratiba hakuna, watoto vichanga (njiti) vinakufa kwenye incubator kila siku jamani!..Roho za hawa watoto zitawalilia wewe na waziri wako hadi kizazi chenu cha kumi!
Huna akili.unadhani serikali tunafanya kazi Kama tuko kijiweni...sisi tunafanya kazi kwa kupitia maandishi documented..unaambiwa toa taarifa unaanza mapepe sijui mwambien makamba bla bla bla.
 
Mheshimiwa Rais nimelileta kwako kwa sababu nina Imani utatusaidia

Mheshimiwa Raisi wanavijiji wamelipia gharama zote za umeme zinazotakiwa Lakini ili kupata umeme unatakiwa kulipa tena kati ya Laki 3 mpaka 5 ambayo kimsingi ni Rushwa. Haya nimeyaona kwenye vijiji vya chiuta na Nyundo 1(Mnyambe)

Nimalize tu kwa kusema tunakuomba uwaamuru takukuru kufuatilia hili vinginevyo yatakuwa ni mateso makubwa kwa wanavijiji.
Unamtaja rais kwenye changamoto ya kijiji? Tunahitaji katiba mpya kumpunguzia majukumu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Tanesco wa michongo. Matapeli tu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Sio Lindi tu hata nilipo hilo swala lipo sana
[emoji3591] Application bure
[emoji3591] Survey 60 hapo kwa nyumba zilizo ungana...ramani moja separate mita
[emoji3591]Kama eneo lako linahitaji nguzo jipange... nguzo moja mpaka laki mbili...mm mbili nilitoa 350,
[emoji3591] Niliambiwa nikipata nguzo mita sio tatizo ila kwanzia mwenzi wa kumi mpaka leo hata contral namba sijatumiwa. ... nikifatilia naambiwa anatakiwa kuja mtu site akaahakikishe nguzo kama kweli zipo ndo nitumiwe contral no (anae nambia hivyo ndo alie niunganisha na wenye nguzo)..garama za kuja site elfu 30
[emoji3591] Nimefatilia nimechoka ... Imebidi nianze ku apply upya tena nione application ipi itafanikiwa haraka..tena nimegarimika
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Huna akili.unadhani serikali tunafanya kazi Kama tuko kijiweni...sisi tunafanya kazi kwa kupitia maandishi documented..unaambiwa toa taarifa unaanza mapepe sijui mwambien makamba bla bla bla.
Ww nae kujifanya unajua kumbe umejaza maji taka kichwani kua taasisi kibao za serikali zinazitakiwa kusimamia haya mtu akitoa ripoti tu wafatilie na wao ndo wataandaa hizo document.
 
Huduma bora inaanza na taarifa kamili na sahihi,
 
Lipa wewe hizi sio zama za magufuli Takukuru wenyewe ni wala Rushwa
Huko huko LIndi, watu wamelipa na kupiga wiring zama hizo hizo za Magufuli na bado hadi kesho umeme wajawawekewa!
 
Huduma bora inaanza na taarifa kamili na sahihi,
Kiongozi, it's tue! Binafsi nilienda kikazi kwenye kijiji kimoja kinaitwa Rutamba!! Mwenyeji wangu, nyumba yake ina umeme! Less than 100M, kuna nyumba imefanyiwa wiring kila kitu hadi wiring inaanza kuchakaa lakini hajawekewa umeme na nguzo wala hazipo mbali! Nilipouliza kulikoni, naambiwa dada wa watu alilipia ile ya Sh 27K, na kila akifuatilia anaambiwa sijui nini na nini zinazohusu hayo malipo ya 27K hazipo!! Wakati nasikia hayo, kuna mmoja akanihakikishia jamaa ukiwapa 200K, fasta uneletewa umeme!!
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Huku Sumbawanga umeme kwa siku unakatika hata mara tano dah Tanesco mmekumbwa na nini??
 
Back
Top Bottom