Afri-Cast
Member
- Apr 1, 2020
- 49
- 109
Jana Usiku umeme umeisha usiku wa manane, nikaingia kununua chap Tigopesa nikawa naambiwa transaction failed, nikaenda simbanking, ikagoma!
Sasa nna mtoto mdogo kukiwa giza zito anasumbua sana sana, ikabidi nipige simu call center yao, Nikaambiwa kuna kodi ya 120,000 natakiwa kulipia kwa mkupuo kabla sijanunua umeme.
Na anasema hii ni kwa watu wenye ghorofa! Cha ajabu sina ghorofa, ni nyumba ya chini so ananiambia nikahakiki TRA! So nilale giza, asubuhi nikahakiki taarifa zangu wapitie upya, after few days ndo niweze kununua umeme.
Nakumbuka kulikuwa na hii kodi lakini ilikuwa inalipwa kidogokidogo ni nini kimetokea? Imagine huna hiyo pesa muda huo, UTAKOSA HAKI YA KUWA NA UMEME kwa kwa kulazimika kulipa tozo kwa mkupuo? Tena kwa case yangu wamekosea taarifa zangu maana hata hilo ghorofa sina!
Kwanini taarifa isitolewe mapema kuepusha Usumbufu ?
Kama haijakukuta basi linakuja unaponunua umeme kwa mara ya kwanza mwezi may