TANESCO kupinga malipo ya DOWANS mahakamani


Mikael P Aweda

Mikael P Aweda

JF Gold Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
2,934
Likes
40
Points
0
Mikael P Aweda

Mikael P Aweda

JF Gold Member
Joined Dec 17, 2010
2,934 40 0
Wahusika wote hawa wa Richmond wako serikalini ama wanalindwa na viongozi wa serikali, nao ijumaa wataadimisha kumbu kumbu ya miaka 12 ya Mwl Nyerere - unafiki mtupu. Hata sitta aliyeongoza kuvunjwa kwa mkataba wa Richmond/Downs naye anapinga malipo, wakati haya ni matokeo ya maamuzi yake. Kweli Tanzania tuko pabaya kuliko wakati wowote tangu tupate uhuru.
 
D

daniel_mollel

Member
Joined
Sep 30, 2011
Messages
66
Likes
0
Points
13
D

daniel_mollel

Member
Joined Sep 30, 2011
66 0 13
Tanzania ni miongoni mwa nchi masikini sana duniani. Hizo ni fedha nyingi sana kuwahi kudaiwa nchi hii. Ni vigumu sana kuepuka kuzilipa isipokuwa tu kwa miujiza tena ya ajabu. Madhara ya kuchelewa kulipa ni makubwa mno! 7.5% ya bil 94 siyo mchezo! Serikali inalazimika kulipa haraka iwezekanavyo kuepuka madhara zaidi. Nawashangaa sana wanasheria mahiri waliopendekeza na kushadadia kuvunja mkataba wa dowans, sijui wamesoma wapi sheria hadi wakapata PHD...!? nashangaa sana..! Nashangazwa zaidi na bunge la 'viwango...!' lililokuwa na spika mwanasheria kushindwa kugundua athari za kuvunja mkataba huo. Haizekani kukataa kwamba wahusika walikua wakitaka kujizolea umaarufu. Narejea matukio "tatizo siyo Richmond, tatizo ni Uwaziri Mkuu" nashawishika kuamini tatizo lilikuwa hilo.
 
K

Kima mdogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Messages
303
Likes
0
Points
0
K

Kima mdogo

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2011
303 0 0
hili zigo tulilipe tu yaishe, kadri tunavyochelewa ndiyo charges zinapanda - ki-sheria lazima tulipe, tumeshaingizwa mkenge watanzania, we have to pay it now way out.[/QUHAPANA HATUTALIPA KIRAHISIRAHISI NAMNA HY WAJIUZULU KWANZA WALIOTULETEA MATATIZO HY NA JELA JUU ndo TUFIKIRIE JINGINE LA KUFANXA
 

Forum statistics

Threads 1,235,539
Members 474,641
Posts 29,226,056