Taarifa ni kwamba Tanesco ya Mlandizi ni rushwa tupu hakuna mnachofanya .Ufafanuzi
Mteja mwema na mwenye nia njema anashauriwa kuwa anatoa ushirikiano kwa kuwa bila kufanya hivyo hakuna hatua zinazoweza kuchukuliwa, hata ukienda bank hauwezi kusema sina acc namba angalieni kwenye database, hivyo ni vema wateja wetu mkajenga utamadumi wa kutoa taarifa kamili kwa huduma bora.wakati mwingine tumeshuhudika wengine wakiandika page nzima lalamiko mnamfikia hana tatizo lolote anasema nalalamikia wengine ndio maana tunashauri kutoa taarifa kamili.
Hakika shirika letu limekuwa UTOPOLO wahed.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Umeme kukatika Kibaha anahitaji namba ya tukio, na anuani ya mtoa taarifa.Ila huyu jamaa wa tanesco anayejibu hizi msg ni muungwana sana daaah.
Heb vaa viatu vyake mkuu kama ungekuwa wewe ungefanyaje!ungeenda kuwateka waje wafunge kwa nguvu?Na unaona Upo sawa. Watanzania tumezoea Matatizo
Mimi nilikuwa najua wote wanaoishangilia CCM mna maisha mazuri kumbe na nyie mnaunga unga?Taarifa ni kwamba Tanesco ya Mlandizi ni rushwa tupu hakuna mnachofanya .
Maombi yamejaa kila siku mnasingizia hamna vifaa
Wewe Ni kibaraka. Ndugu zako tunateseka unamtetea mtesi wetuHujafuatilia Mkuu. Tanesco WA sasa wako vizuri... Tu ila uwape ushirikiano wako
Unachosema ni sahihi, nimelipia umeme tangu October mpaka leo kimya na umbali wa kutoka kwenye nguzo mpaka nyumbani ni chini ya Mita tano lakini sijaunganishiwa umeme mpaka leo. Niliweka ratiba ya kwenda kila wiki mara mbili kufuatilia lakini majibu yao ni subiri utapigiwa simu mpaka nikaamua kununua Solar. Kiukweli wanakera sana wala sio Siri na Kwa kuwa ni Monopoly system huna cha kuwafanya unabaki kulalamika huku maisha yanaendelea.Heb vaa viatu vyake mkuu kama ungekuwa wewe ungefanyaje!ungeenda kuwateka waje wafunge kwa nguvu?
Usifikiri mtu hafuatilii anafuatilia sana ila akifika Tanesco anaambiwa subiri utapigiwa simu unadhani akijibiwa hivyo mara tano atahangaika nao,na pakulalamika hamna na wengi wanaofanyiwa hivi ni wale wa REA ila wateja wa cash ndani ya wiki tatu mtu anapata moto.