Kama umelipia ile ya toleo la juzi, subiri miezi 6Nimelipia umeme mwezi wa nane leo mwezi wa 11 hakuna hata dalili za kufungiwa umeme.naishi gizani.bora garama za kufungiwa umeme ziwe laki tano tufungiwe kwa wakati
Agiza kubwa tunakuja kulipaMiezi miwili tu unalalamika. Subiri hadi mwezi wa nane 2022 ndiyo ulalamike. Mimi nimelipia 2017 hadi leo sijawekewa umeme, na bado silalamiki
Mbona huna uvumilivu, umekaa na vibatari kwa muda gani leo miezi hiyo michache unapiga kelele. Vumilia kwa mwaka mmoja ndo uje utupe taarifaNimelipia umeme mwezi wa nane leo mwezi wa 11 hakuna hata dalili za kufungiwa umeme.naishi gizani.bora garama za kufungiwa umeme ziwe laki tano tufungiwe kwa wakati
Mtu mwenyewe kalipia 27,000 tu lakini kelele utafikiri kalipa milioni. Bora Tanesco wamrudishe hela yake akanunua mafuta ya taa.Mbona huna uvumilivu, umekaa na vibatari kwa muda gani leo miezi hiyo michache unapiga kelele. Vumilia kwa mwaka mmoja ndo uje utupe taarifa
Ndugu mpendwa Mteja wetuNimelipia umeme mwezi wa nane leo mwezi wa 11 hakuna hata dalili za kufungiwa umeme.naishi gizani.bora garama za kufungiwa umeme ziwe laki tano tufungiwe kwa wakati
Ndugu mpendwa Mteja wetuTANESCO rudisheni umeme Kibaha leo Ni sikukuu!!!!!!!
Inakuwaje kila siku muhimu Kibaha mnakata umeme?
Hata Tanesco ya Mlandizi tumelipia tokea mwezi 8 lakini kila siku danadana hawaji kufungaNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Onesha taarifa kamili tafadhaliHata Tanesco ya Mlandizi tumelipia tokea mwezi 8 lakini kila siku danadana hawaji kufunga
Umeshaambiwa mlandizi bado unauliza taarifa kamili? Mko serious kweli nyie watu? Hamna database ya maombi ya kufungiwa umeme? Hamuwezi angalia mlandizi alipotaja muungwana hapo juu? Ama database yenu inasoma wote waliomba umeme mlandizi wameshapata umeme?Onesha taarifa kamili tafadhali






UfafanuziUmeshaambiwa mlandizi bado unauliza taarifa kamili? Mko serious kweli nyie watu? Hamna database ya maombi ya kufungiwa umeme? Hamuwezi angalia mlandizi alipotaja muungwana hapo juu? Ama database yenu inasoma wote waliomba umeme mlandizi wameshapata umeme?![]()
UfafanuziHaya endeleeni kusubiria hizo taarifa ofisini
Na unaona Upo sawa. Watanzania tumezoea MatatizoMiezi miwili tu unalalamika. Subiri hadi mwezi wa nane 2022 ndiyo ulalamike. Mimi nimelipia 2017 hadi leo sijawekewa umeme, na bado silalamiki.