TANESCO kukata umeme muda wa kombe la Dunia!

TANESCO kukata umeme muda wa kombe la Dunia!

Wewe usiyejua kombe la dunia ni nini nadhani ndiye mwenye hitilafu kwenye ubongo
 
Umeme unaweza kuwepo kuuona ikatakiwa uwe umewalipia startimes kwa kuwa TBC1 itakuwa inaonyesha comedi au Makamu wa Rais na mkasi akifungua zahanati tukio la mwezi uliopita.

Hii subiri muone SIA HASA kama LIVE mliyotangaziwa TBC2 isipokuwa mpaka ulipie
 
Umeme unakatwa katwa kila siku, kwani watanzania si mmeshazoea Giza! Kama umeme Hakuna mulika kibatari kwenye tv utaona
 
Wewe usiyejua kombe la dunia ni nini nadhani ndiye mwenye hitilafu kwenye ubongo

Ili mradi umechangia thread ya mtu mwenye hitilafu ya ubongo.., basi we utakuwa mtu wa kwanza mwenye internet huko mirembe.., wasalimie huko..
 
Ramadhan nyingi tumefuturu kizani ...kwa iyo hata ramadhan hii nishatayarisha mishumaa yangu ..najua tu watakata...
 
acha usengerema.luku units kibao alafu unakosa uduma.mwenzi ukifika lazima wkate km 6000.lakini uduma atupati ww wp
 
Hizi ni hisia zinazoibuka vichwani mwa wengi kutokana na historia iliyokuwepo hasa kwa maeneo ya Tabata na Sinza ya kukata umeme ovyo bila taarifa kwenye mida muhimu muhimu kama christmas na kombe la dunia.., ni hisia tu lakini.., ila kama mmekatiwa umeme mida hii tukikaribia kombe la dunia tiririka tu..

Mkuu niko maeneo kwa jamaa yangu maeneo ya Buguruni Rozana hapa.Nimepita hapa ili niweze kuangalia mpira na jamaa zangu kabla ya kwenda nyumbani.Sasa ni saa mbili na robo usiku sasas na umeme umekatika,fainali zianaanza takribani kwenye saa nne na nusu usiku.
 
Duuu sisi tangu soko la karume liungue jana wamekata umeme mpaka leo na wametuambia mpaka kesho saa 3.
 
Bagamogo toka saa 2 asubuhi mpaka sasa hakuna umeme
 
Mi naombea wakate kila siku
Mshatuchosha na mipira yenu utafikiri hua mnalipwaa
 
Mi naombea wakate kila siku
Mshatuchosha na mipira yenu utafikiri hua mnalipwaa
Unajua tusipofuatilia mechi za kwenye T.V hua tunawaanzishia mechi za 6x6 nyinyi.., au ndo unachotaka hicho kuijaza dunia sio..?!
 
Back
Top Bottom