TANESCO kukata umeme muda wa kombe la Dunia!

TANESCO kukata umeme muda wa kombe la Dunia!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,823
Reaction score
46,943
Hizi ni hisia zinazoibuka vichwani mwa wengi kutokana na historia iliyokuwepo hasa kwa maeneo ya Tabata na Sinza ya kukata umeme ovyo bila taarifa kwenye mida muhimu muhimu kama christmas na kombe la dunia.., ni hisia tu lakini.., ila kama mmekatiwa umeme mida hii tukikaribia kombe la dunia tiririka tu..
 
Una akili kweli wewe.??
Kwan kombe la dunia ni nini.?
 
Sie hatuna umeme tangu jana saa 10 hadi sasa! Roho itaniuma saana kukosa ufunguzi
 
Niko hapa Mbezi analogia. umeme umekatika kama dkk tano zilizopita. shen.zi sana hawa wadudu wanaoitwa Tanesiko
 
Niko hapa Mbezi analogia. umeme umekatika kama dkk tano zilizopita. shen.zi sana hawa wadudu wanaoitwa Tanesiko

mkuu hii mbezi yetu wanaionea sana dah
kila sekunde wanafanya yao mweh
 
Kwetu huku nako wamekata Dah hii tanzania bhana takataka kabisa
 
Back
Top Bottom