ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,950 Reaction score 6,981 Nov 22, 2022 #1 Ukiangalia jinsi wanavyokata umeme, utadhani wanafanya jambo la kishujaa kabisa. Nchi kuna watu yafaa wachomwe moto
Ukiangalia jinsi wanavyokata umeme, utadhani wanafanya jambo la kishujaa kabisa. Nchi kuna watu yafaa wachomwe moto
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,095 Reaction score 69,539 Nov 22, 2022 #2 Tumepigwa Mchana
usatz Member Joined Sep 4, 2016 Posts 96 Reaction score 45 Nov 22, 2022 #3 ntamaholo said: Ukiangalia jinsi wanavyokata umeme, utadhani wanafanya jambo la kishujaa kabisa. Nchi kuna watu yafaa wachomwe moto Click to expand... Wafanyakazi wa TANESCO Tuna comment wap
ntamaholo said: Ukiangalia jinsi wanavyokata umeme, utadhani wanafanya jambo la kishujaa kabisa. Nchi kuna watu yafaa wachomwe moto Click to expand... Wafanyakazi wa TANESCO Tuna comment wap
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 5,160 Reaction score 11,263 Nov 22, 2022 #4 Mitambo na mabwawa yalikuwa yana muogopa Magufuli yani magu kafa mitambo imekufa na mabwawa yamekauka
Mitambo na mabwawa yalikuwa yana muogopa Magufuli yani magu kafa mitambo imekufa na mabwawa yamekauka
Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 4,612 Reaction score 10,859 Nov 22, 2022 #5 Hawa jamaa wanakela Sana unatamani uwatukane ..ila unawasamehe bure maana akili zao Ni Kama umeme wao..
Hawa jamaa wanakela Sana unatamani uwatukane ..ila unawasamehe bure maana akili zao Ni Kama umeme wao..
Nobert urassa Member Joined Nov 17, 2022 Posts 17 Reaction score 21 Nov 22, 2022 #6 Tumepigwa za kichwa.