Hiki ndicho kinachotokea kutokana na ukosefu wa washindani.Moja ya mambo ninayoshangaa toka hilo shirika ni matumizi mabaya ya materials kama waya na nguzo, kuna maeneo unakuta zimewekwa nguzo utitiri na waya nyingi, ukiuliza kwanini wanakwambia hii ni line ya mradi na nyingine ni line ya Tanesco,
Kuna maeneo waya zimetepeta mita 2.5 toka ardhini unawapigia simu waje waziinue, wanakuja na Land Cruiser yenye ngazi wanachungulia wanaondoka
Kuna maeneo unakuta waya zimeshika kwenye miti hai, ukiwaambia wanakwambia mpigie meneja as if nasi ni sehemu ya ajira yao, sina hakika kama wafanyakazi wa hilo shirika wamefundishwa kurespond kwenye dharura.
Mbaya zaidi, ukiwariport Makao makuu ndo kwanza wanakwambia nenda ofisi za Mkoa wako ambako ndiyo huko wameuchuna kuja kurekebisha matatizo
Nitatuma picha nikisettle
Ndio hivyo Mkuu, hebu vuta picha kama tungekuwa na kampuni moja ya usafirishaji, si watu wangepangiwa siku na muda wa kufanya safari zao?.....Si ingechochea umasikini sana?Mashirika ya umeme yakiwa mengi itakuwa nafuu kwetu ss watu wa kawaida maana hata gharama zitapungua na huduma zitakuwa safi.
Ndio maana nimeuliza, kuna uwezekano wa kuwepo kwa makapuni ya kushindana na TANESCO?Kutopatikana ushindani kama vile makampuni ya simu kumewafanya tanesco waendeleze ubabe na kiburi juu....wako wapi washindani waje wawaondoe jeuri hawa watu?..tanesco ni jipu....kwa mtindo huo ni heri tumiliki solar kwenye nyumba zetu no way.......
Ndio maana nimeuliza, kuna uwezekano wa kuwepo kwa makapuni ya kushindana na TANESCO?
Sina hamu na hao Tanesco, kwangu nawaona kama wapiga dili tu,takribani miezi miwili sasa tangu nilipie umeme na sihitaji nguzo hats moja lakini hadi Leo hawajakuja kunifungia umeme.Wakuu wa Jukwaa heshima kwenu!
Moja kati ya nguzo muhimu za maendeleo ni ushindani.Hata mataifa yaliyoendelea ni yale yaliyohubiri sera za ushinadi.Ushindani unaongeza mbio za maendeleo ya anayekimbiza na anayekimbizwa.
Ukiangalia shirika la uzalishaji na ugavi wa umeme nchini halina mshindani, linaendeshwa ki-monopoly mno. Haishangazi kuona linagubikwa na kashfa lukuki za kifisadi huku likitoa huduma kwa kusuasua kwa wateja wake wachache lililonao.TANESCO ni tofauti sana na makampuni mengi yenye washindani kama ya mitandao ya simu za mikononi, ya usafirishaji, n.k.
Sasa nauliza je kuna uwezekano wa kuwepo makampuni ya kushindana na TANESCO kwenye biashara ya kuzalisha na kusambaza umeme nchini?
Je kama ushindani utatokea, pata kuwepo na uafadhali kwa mtumiaji wa umeme kama vile umeme wa uhakika kwa bei nafuu?.....Au hakuna unafuu utakaopatikana zaidi ya huu wa TANESCO?
Hahahaaaa..... Kweli hupendi ujinga Mkuu..... Wanazingua sababu wapo peke yao, yangekuwepo makampuni walau matatu hivi, wangejifunza somo..... Wasingesumbua namna hii.Sina hamu na hao Tanesco, kwangu nawaona kama wapiga dili tu,takribani miezi miwili sasa tangu nilipie umeme na sihitaji nguzo hats moja lakini hadi Leo hawajakuja kunifungia umeme.
Kinachoonekana wanaandaa mazingira ya mm kutoa rushwa,na mm nimesema sitoi hats mia kama hawataki kuja kufunga wacha wakae.
[HASHTAG]#Sipendaji[/HASHTAG] Ujinga na utapeli hasa ktk kipindi hiki ambacho pesa imeota mbawa!!
Ishindane na nan akati ndo sehem ya kupigia pesa za kutusaidia kwenye kampeni na mahemezi ya parisWakuu wa Jukwaa heshima kwenu!
Moja kati ya nguzo muhimu za maendeleo ni ushindani.Hata mataifa yaliyoendelea ni yale yaliyohubiri sera za ushinadi.Ushindani unaongeza mbio za maendeleo ya anayekimbiza na anayekimbizwa.
Ukiangalia shirika la uzalishaji na ugavi wa umeme nchini halina mshindani, linaendeshwa ki-monopoly mno. Haishangazi kuona linagubikwa na kashfa lukuki za kifisadi huku likitoa huduma kwa kusuasua kwa wateja wake wachache lililonao.TANESCO ni tofauti sana na makampuni mengi yenye washindani kama ya mitandao ya simu za mikononi, ya usafirishaji, n.k.
Sasa nauliza je kuna uwezekano wa kuwepo makampuni ya kushindana na TANESCO kwenye biashara ya kuzalisha na kusambaza umeme nchini?
Je kama ushindani utatokea, pata kuwepo na uafadhali kwa mtumiaji wa umeme kama vile umeme wa uhakika kwa bei nafuu?.....Au hakuna unafuu utakaopatikana zaidi ya huu wa TANESCO?
Kwenye ushindani ukishindwa kushindana lazima ufe...... Struggle for the fittest.Wakiruhusu mashirika binafsi kuingia kwenye biashara ya kusambaza umeme tanesco watakua kama TTCL ilivo kwenye mitandao ya simu. Wataishia kupeleka umeme kwenye nyumba na ofisi za serekali tu.
Wenje kuna kipindi alishauri kitu kama hivyo bungen alipigwa vita na kijan mpaka akaomba po lakin ilikia kwa nia njema na maendeleo ya taifa lakin kwa vile nchi imejaa diri ndo ivo ilo ni sawa na fao la kujitoaYale yale ya ufisadi siyo ?