technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,695
- 58,738
Shida yako wewe hasa ni nini?Kuna combination chachu sana kwenye hii wizara, kuanzia waziri mwenyewe, bodi aliyoiunda, Zitto, na uhusiano wao na mwenye mamlaka ya nchi, historia zao huko tulipotoka hazileti matumaini kabisa kwenye suala la kumkomboa mtanzania wa hali ya chini, tupo kwenye circle ya wapigaji tunaishi kwa matumaini tu.
Kila kitu mnawaza hasi tuu sasa ni vyema mbakie hivyo hivyo na akili zenu hasa,tuwasaidiaje sasa? Acheni tufanye Kazi.Akili zinawakaa sawa sasa, bado acheni nchi ifunguke.
Historia ndiyo inayotufanye tuwaze, kama wangekuwa na good records tusingewaza haya...Kila kitu mnawaza hasi tuu sasa ni vyema mbakie hivyo hivyo na akili zenu hasa,tuwasaidiaje sasa? Acheni tufanye Kazi.
Basi ufisadi wa Tanesco kipindi cha Magu ulikuwa wa kijanja sana maana ela walipiga na bado mishe mishe za kutumia umeme mitaani ziliendelea,lakini huu ufisadi wa kina january wa umeme kukatika katika hovyo aisee ni wa kishamba mno alafu sisi tunawaona maboya tu kwa sasa maana huku mtaani kila mtu sasa hivi kajanjaruka kifupi utawala wa Magu miaka 6 umewafungua watu wengi sana.Ufisadi haujawai kuisha TANESCO hata awamu ya mwendazake ulikuwepo tena wa kutisha...kila awamu inakuja na MAFISADI wake ila kinachofanyika ni kuwabrain wash WADANGANYIKA kwamba tulikuwa tunaibiwa sana.
Raia wa kawaida io nafasi napata wap na Lin? Ni ndotoNi vizuri kushauri kama hivi, lakini ni vyema kuwa na future plan ya kuja kuyaondoa haya hata kama wewe ni raia wa kawaida, huu ndio uzalendo.
Daah! huyo Ng'ombe anaenda kukata roho.