TANESCO: Heri ya maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano

TANESCO

Official Account
Jul 12, 2014
4,595
2,115
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO, anamtakia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Wateja wetu kwa ujumla, Maadhimisho mema ya kumbukumbu ya miaka 53 ya Muungano wetu.

Miaka 53 ya Muungano: Tuulinde na kuuimarisha, Tupige vita Dawa za Kulevya na Kufanya Kazi Kwa Bidii”
Muungano.jpg
 
Ni vizuri kama maadhimisho haya yakaenda sambamba na kuboresha huduma zenu. Ahsante
 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya
Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anamtakia Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Wateja wetu kwa ujumla, Maadhimisho
mema ya kumbukumbu ya miaka 53 ya Muungano wetu.

Miaka 53 ya Muungano: Tuulinde na kuuimarisha, Tupige vita Dawa za Kulevya na Kufanya Kazi
Kwa Bidii”
Mbona kero yangu hadi leo haijafanyiwa kazi nime watumia details zote mlizonitaka niwatumie?! Nikafanya hivyo kwani mtu unajinyima mambo mengi ili upate pesa ya kuunganishiwa umeme lakini cha ajabu. Kila unapofuatilia unaambiwa bado kuwa mvumulivu kweli?? Mtu anakubembeleza kukuletea pesa kweli??
 
Asante na ninyi pia tunawatakia la kheri
 
Nyie Tanesco mmeajiri mtu wa kuwaweka hewani huku JF??? Fanyeni kazi acheni kupoteza Muda na mitandao... Huku nilipo kuna Mgao nyie Mnakata mauno huku mtandaoni. Muungano my foot.
 
Hivi kwa nyumba ya kupangisha ambapo una wapangaji wengi ili kuondokana na tatizo la kupunjana wapangaji kwenye kulipa bili ya umeme Tanesco nasikia mna kifaa ambacho kila mpangaji anaweza kukifunga chumbani kwake ili kujua kiasi cha umeme alichotumia?
Sisi tum
mpendwa mteja tumeipokea na tunakuahidi itafanyiwa kazi
Mbona kero yangu hadi leo haijafanyiwa kazi nime watumia details zote mlizonitaka niwatumie?! Nikafanya hivyo kwani mtu unajinyima mambo mengi ili upate pesa ya kuunganishiwa umeme lakini cha ajabu. Kila unapofuatilia unaambiwa bado kuwa mvumulivu kweli?? Mtu anakubembeleza kukuletea pesa kweli??
 
Kifaa hakitolewi na TANESCO bali wndapo utakudhi matakwa unaweza kufungiwa.mita ya pili

...Hatujaelewana bado ni hivi nyumba ina wapangaji 8 kuna ambao wamepanga 2 rooms na wachache 1 room. Sasa wamekuwa wanavuta sana kwenye kuchangia kulipa bili kwani kuna mita moja ya Luku kwa nyumba nzima. Nikasikia Tanesco wana kifaa (siyo mita) ambacho kila mpangaji anaweza kukifunga ku monitor units anazotumia, hivyo ndicho ninachouliza na siyo kuweka mita nyingine. Kama hakuna kitu kama hicho then its Ok, nilijulishwa hilo Tanesco Morogoro.
 
Tunaomba namba yako tutakupigia kukusikiliza na kukuelewesha
 
Shirika lina Idara ya Mawasiliano na hii ni mojawapo ya kutimiza majukumu ya idara kutoa elimu na kujibu hoja mbali mbali. Mimi nawapongeza angalau Tanesco wamethubutu kuweka platform yao jf na kwingineko ili umma uhoji kwa uhuru na kupata majibu. Hili kwangu naliona ni moja ya +imp zinazotoka JF nikiamini JF is borth + n - kwa maslahi ya uma.
 
Hii ndio tanesco kweli mbn napata mashaka.
Ndio wenyewe ondoa hofu
 
Back
Top Bottom