TANESCO hatari hii mnaileaje Dumila Moro

mopaozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,300
Reaction score
525
Jamaa hapa bila hofu wanajenga pub chini ya nyaya na nyingine wamezishikiza kwa paa na Tanesco wapo na wanapita kunywa supu kwenye baa ya pembeni.Ikitokea shoti hapo makuti moto wa maana utawaka
 
Kazi yao ni kugawa umeme kipindi cha mgao na kupokea hongo za service line
 
cwaelewi hadi leo hawajavunja hiyo pub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…