Trust me, kiingereza ulichotumia ni kibovu. I am not kidding. Kibovu.
Value ya nyumba haipangwi na accountants. Kuna watu wanaitwa valuers.
Kama ulivyoambiwa, hiyo depreciation uliyotumia ni kubwa mno. Value inajumlusha thamani ya kiwanja kwa hiyo hata hiyo nyumba ikiingua haiwezi kushuka kiasi hicho.
Bei waliojiuzia wafanyakazi wa umma haihusiani na value ya nyumba. Hata wenyewe hawakudai hilo. Ile ilikuwa ni bei waliyopanga bila kujali true value ya nyumba.
Amandla......
Nyumba inayodaiwa alijiuzia kwa sh 80,000,000/- ni hiyo iliyokarabatiwa kwa sh. 650,000,000/- ! Haya madai yalitolewa na Mh. Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa (CCM), aliyeibua ufisadi mwingine wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwamba wamekarabati nyumba saba zilizokuwa zikikaliwa na wakurugenzi wa shirika hilo kwa sh bilioni 1.4 !Kuna ukarabati wa nyumba za TANESCO ulifanyika, nyumba ya kwanza ilikuwa namba 13 iliyopo Mtaa wa Toure- Chaza, Oysterbay ambao ukarabati wake uligharimu zaidi ya sh milioni 600. "Nyingine ni namba 89 ipo Mtaa wa Gine Road ambayo ukarabati wake uligharimu sh 250,463,140, nyingine ni nyumba namba 65, iliyopo Mtaa wa Laibon Road ambayo imegharimu sh 190,407,430 na nyingine ambayo ni namba 459 ipo Mtaa wa Mawenzi Road ambayo imegharimu sh milioni 130.
Nyumba nyingine iliyokarabatiwa ni namba 93 iliyopo Mtaa wa Gine Road ambayo imegharimu sh 88,515,820, nyingine namba 315 iliyopo Mtaa wa Toure Drive ambayo ukarabati wake umegharimu sh milioni 79, huku nyumba namba 98 iliyopo Mtaa wa Uganda Line, ikiwa imekarabatiwa kwa sh 73,600,000.
Trust me, kiingereza ulichotumia ni kibovu. I am not kidding. Kibovu.
Value ya nyumba haipangwi na accountants. Kuna watu wanaitwa valuers.
Kama ulivyoambiwa, hiyo depreciation uliyotumia ni kubwa mno. Value inajumlusha thamani ya kiwanja kwa hiyo hata hiyo nyumba ikiingua haiwezi kushuka kiasi hicho.
Bei waliojiuzia wafanyakazi wa umma haihusiani na value ya nyumba. Hata wenyewe hawakudai hilo. Ile ilikuwa ni bei waliyopanga bila kujali true value ya nyumba.
Amandla......
Mkuu Fundi, umejaribu lakini si kila ng'ombe anaepelekwa mtoni atakunywa maji - huyu bwana angeamua kutumia kiswahili kitupu labda angeweza kueleweka. Hata hivyo mimi nitamsaidia kidogo tu kwa swali lake moja la ukarabati wa nyumba za TANESCO.
Kuna ukarabati wa nyumba za TANESCO ulifanyika, nyumba ya kwanza ilikuwa namba 13 iliyopo Mtaa wa Toure- Chaza, Oysterbay ambao ukarabati wake uligharimu zaidi ya sh milioni 600. "Nyingine ni namba 89 ipo Mtaa wa Gine Road ambayo ukarabati wake uligharimu sh 250,463,140, nyingine ni nyumba namba 65, iliyopo Mtaa wa Laibon Road ambayo imegharimu sh 190,407,430 na nyingine ambayo ni namba 459 ipo Mtaa wa Mawenzi Road ambayo imegharimu sh milioni 130
Sawa nyumba aliyojuzia Idrissa ipi katika hizo?
Sawa nyumba aliyojuzia Idrissa ipi katika hizo?
Angalieni watanzania jamani unaona Mbunge alilipua ufisadi wa nyumba. Mag3 umejaribu kutupa details za ukarabati those are the facts even though sijui source yake but umejitahidi ndugu yangu safi sana utupage na source basi kama alivyofanya Mh Zitto.
Kuhusu ulipuaji wa ufisadi i can understand the role of whistleblowers but i do not buy their story kwasababu wengine huwaga wanatheir secret agenda behind. Atuambie huyo muheshimiwa amepata wapi hizo habari? na katika hiyo tenda ilikuwaje?
Kama ilikuwa ni kweli je serikali imechunguzaje hatua gani zilizochukuliwa na wahusika wamechukuliwa hatua gani??
Not to sound like Jonh Edwards, lakini Tanzania ni nchi mbili kati ya moja.
Wakati wabenz wa Toure Drive wanatumia more than half a mill dollars kukarabati nyumba moja, kuna watu wanasomea chini ya miti, wengine hawana madawati hapa hapa Dar.
I am not even going to get into the nitty gritty but this is simply wrong.
I mean one can argue that Oysterbay this and valuation that and ante it up to milioni 70-80 kwa ukarabati (unapata kibanda kizuri tu katika ukarabati huu)
Lakini milioni 650 jamani? Nyumba yenyewe ile ya pale karibu na kwa balozi wa Finland Toure Drive? ina swimming pool ya maji ya dhahabu au nini? Maana tuambiane ukweli.
Kama nyumba ina thamani ya dola milioni 2-3 hata ukitumia 10% ya value ya nyumba bado unakuja kwenye $ 200, 000 - 300, 000. A far cry from milioni 650.
Milioni 650 tunakarabati nyumba mpya ya Waziri Mkuu Pinda? maana najua Mawaziri wakuu na marais ndio wanakaa kwenye vijiji vyenye nyumba kadhaa ambavyo ukarabati wake unaweza fairly kuingia katika hizo figures.
Milioni 650 hata Northeastern US unanunua nyumba nzuri tu. hii si hela ya kukarabati nyumba moja Dar. hii ni hela ya kujenga nyumba burudani sana, ukizingatia ukarabati haujihusishi na ununuzi wa kiwanja.
Jamani hizi milioni 650 zimeendaje endaje?
Mi nikafikiri milioni 650 ndio mkupuo wa ukarabati wa nyumba zote, pamoja na hizo za Uganda Ave, Guinea Ave etc. tena hizi nyumba za Uganda na Guinea ni simple tu nazijua zote. Nimeingia mpaka ndani Guinea pale next to ofisi ya Msajili wa majumba Oysterbay. Uganda Ave kwa yule mzee wa kiarabu/ mpemba wa Tanesco nyumba ukarabati wa mamilioni yote hayo?
Hiyo milioni 650 ingetosha kufanya ukarabati wa nyumba zote, labda hapo ningesema "this is Oysterbay, wakubwa wana tastes zao, vifaa vya ujenzi na ukarabati vimepanda bei what do you expect" lakini hizi habari za nyumba moja ukarabati milioni 650!
I am very familiar with all these houses, kuanzia alipokuwa anakaa Mzee Mosha pale Toure karibu na nyumbani kwa balozi wa Japan mpaka hii nyumba ya Tanesco iliyo karibu na balozi wa Finland, huku karibu na kwa Nyalali kwa zamani, hakuna nyumba ya ukarabati wa shilingi milioni 650. Mi namjua mzee mmoja private investor yuko Oysterbay, ana nyumba ina kiwanja kikubwa mara nne ya hiki cha nyumba ya Idris, nyumba yake ni kama sawa na hiyo ya Idris, anapiga hesabu ya kuikarabati kwa US $ 70,000!
Kwa maana hiyo hata hizo nyumba za Uganda Ave na Guine Road, ambazo ni ndogo kulinganisha hii ya huyu mzee private investor zingeweza kufanyiwa ukarabati mzuri tu kwa shilingi milioni 40, pengine hata na hela kubaki.
Ni kama vile hawa wazee wamekaa wakaona wanastaafu na Net Group wanakuja kuchukua TANESCO kwa hiyo tuchukue mihela kwa kisingizio cha ukarabati halafu tuone nani atasema.
Hawajui hata "kula na kipofu"!
Mdondoaji, haya madai yalitolewa bungeni - je unajua yanayomkuta mbunge ambaye anatoa madai yasiyo na ukweli bungeni ? Sasa kama inatokea kuwa hukubaliani au huamini ni juu yako kukanusha (yaonekana unamtetea Dr. kama vile unajua zaidi !) Sana kwa kuwa wewe ni mdondoaji, nakuomba udondoe utupe yaliyojiri baada ya haya madai kutolewa, TANESCO, Bunge au Serikali zilisemaje na hatua zipi zilichukuliwa. Usiwe mtu wa kupikiwa, kuwekewa mezani na bado ukasubiri kutafuniwa.
Hilo ni kweli kaka na ndio tatizo la mashirika yetu ya umma na Tanzania kwa ujumla kila mtu anataka kula hapo hapo matokeo bei za ukarabati zinakuwa highly inflated. Na bosi hawezi kusema no but i do not think that is only in Tanesco mbona BOT twin towers zimegharimu gharama za kutoa majengo kumi ya PPF towers!!!!
Ka hiyo by saying "but i do not think that is only in Tanesco mbona BOT twin towers zimegharimu gharama za kutoa majengo kumi ya PPF towers!!!" unamaanisha ni sawa tu? TANESCO wasisakamwe kwa sababu BOT nao wamefanya?
Uliona moto tuliowawashia BOT hapa?
Two wrongs do not make a right.
1. Mdondoaji, haya madai yalitolewa bungeni - je unajua yanayomkuta mbunge ambaye anatoa madai yasiyo na ukweli bungeni ?
Sasa kama inatokea kuwa hukubaliani au huamini ni juu yako kukanusha (yaonekana unamtetea Dr. kama vile unajua zaidi !) Sana kwa kuwa wewe ni mdondoaji,
2. nakuomba udondoe utupe yaliyojiri baada ya haya madai kutolewa, TANESCO, Bunge au Serikali zilisemaje na hatua zipi zilichukuliwa.
Usiwe mtu wa kupikiwa, kuwekewa mezani na bado ukasubiri kutafuniwa.