Hivi kuna baadhi ya makampuni yanacheza na mind za watu inakuwaje wanaita interview kila mwaka bila kuajiri watu kama kumi na tano hivi tulifanya interview mwaka jana tumechoma nauli hawajaita mtu mpaka sasa juzi tumesikia wanafanyisha tena interview. this is bullshit kwa kweli