Tanelec redesigned oil transformers to curb oil theft | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanelec redesigned oil transformers to curb oil theft

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by R.B, Sep 13, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,168
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  The Arusha-based company said the innovation was of paramount importance for the oil type transformers which are cheaper in both procurement and maintenance by between 25 and 50 per cent compared to dry types.Tanelec’s senior sales officer Fred Mpili said the new design has removed completely the drainage cock at the bottom, thus managing to lower oil theft as one has to open the transformer lid to accomplish the mission.

  “It’s difficult to drain oil from the new design as one has to open the cover which is a process that takes time and requires trained technicians,” Mr Mpili told the ‘Daily News’ at the exhibition for East African Power Industry Convention.
  He added: “Dry transformers air cooled and exposing bare their copper materials thus becoming even more theft target compared to oil cooling type.”According to the firm, transformers theft is not limited to Tanzania alone rather in Kenya, Uganda and Malawi.
  The sales officer said currently Tanelec is dealing with ten power utilities in over ten countries in the bloc namely Kenya, Uganda, Malawi, South Sudan, Zambia, DRC, Mozambique, Rwanda and Burundi.
  To meet the raising demand, the largest transformer manufacturer in the region, has increased capacity from 10 to 15 transformers a day and employed 200 permanent staff.

  He said at the moment they are supplying about 2,000 transformers a year to Tanzania Electric Supply Company (Tanesco).“Tanesco could have kept us (Tanelec) busy if were to order all transformers from us,” he said, “we have worked with Tanesco to develop products aimed at reducing energy theft, among other solutions.”
  Tanelec is producing pole and ground mounted distribution transformers ranging from 25 kilovolt-ampere (KVA) up to 3000KVA to 33 kilovolt (Kv) using proven technology under a licence with ABB.
  Mr Mpili said Tanelec does not only manufacture and sell transformers but also offers service and repairs under its independent service shop that include tank, winding and core replacement, tap charger overhaul and transformer upgrading and refurbishment.
   
 2. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  waongeze maarifa.....ili hilo neno "difficult" libadilike liwe "impossible".....
   
 3. Makucha

  Makucha JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Congratulations Tanelec. Design hii inabidi iboreshwe kuzuia draining by syphon method ili kweli iwe kama impossible, kwa mfano kizuia mpira wa kunyonya usiweze kupita pale na inawezekana kuweka kuzuizi bila kuathiri hapo walipofikia.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Something that tanesco will never ever do! Coz they themselves knows how to steal the transformer oil, where and how to use it!
  Big up tanalec!
   
 5. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Bravo Tanelec, you'll serve a lot of taxpayers money....
   
 6. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Duh! yaani wewe hata kaneno ka pongezi hamna ni kulaumu tu na vijembe, angalau kuna kainnovation kidogo kanafanyika nchini mwetu tuwaonge mkono na tuwapongeze!
   
 7. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mkuu Kijakazi .....unajua huwa tunatatua matatizo yetu kwa njia ambayo mimi kwa maoni yangu huwa nadhani haina ufanisi sana......hatutafakari kiini cha tatizo....tunakimbilia kutoa masuluhisho katika matokeo yanayooneka kwetu tu. Suala la wizi wa mafuta ya transforma si suala linaloihusu Tanesco peke yake....ni suala linalohusu Taasisi mbali za serikali.. Kwa pamoja wangejaribu kujua wapi soko lake lilipo pamoja na bei yake?......yanatumikaje?..moja kwa moja kwa yanatumika kwa mbadala wa bidhaa fulani?...watu wana uelewa wa hii bidhaa? ....Je kuna madhara gani ya binadamu na mazingira? baada ya majibu ya maswali haya na mengineyo ndiyo tungekuja kujua nini kifanyike kuondoa tatizo hili.
  Unaweza kugundua baadaye kumbe ni elimu kidogo ya uelewa juu ya madhara yanayoletwa na mafuta hayo ikatosha kumaliza tatizo hili au kuingiza sokoni bidhaa nyingine mbadala iliyo salama kwa matumizi ya mafuta hayo kwa bei na upatikanaji rahisi au masuluhisho yoyote yanayoweza kumaliza tatizo hili.
  Ni kweli wizi wa mafuta ya transfoma unalitia Taifa hasara kubwa sana kwani anayefanya hivyo hupata pesa kidogo na Taifa hupata hasara kubwa........hana tofauti na yule aliyekwenda kununua rada mbovu kwa bei ya juu.
  Ni vigumu kudhibiti upatikanaji wa bidhaa huku ukiacha soko na matumizi yake kuwa huru
  Lakini bado siamini kama kudhibiti wizi ndiyo suluhisho la kudumu zaidi zaidi kwa maoni yangu itaweza kubandisha bei ya bidhaa hiyo katika soko lake......
  Anyway hongera kwa ugunduzi huo.......ni mategemeo yetu hao wezi nao hawatakuja na ugunduzi mwingine wa kuiba mafuta kwa urahisi zaidi kuliko mwanzo...kwani nao ni watu kama sisi
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Hii si ilibinafsishwa kwa jamaa zangu wa nchi jirani?
   
 9. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  nice, congratulation tanelec
   
 10. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Yote unayosema ni sawa na nakubaliana na wewe kabisa, ila Tanelec ni kampuni binafsi na wanafanya biashara hivyo sidhani kama wana hilo jukumu, wao kazi yao ni kutengeneza Transformer na kuuzia wateja mbalimbali wa ndani na nje ya nje sasa kwa kuwa wateja wao wamekuwa wakiibiwa mafuta wameamua kuja na suluhisho la kuimprove products zao ili angalau ziweze kukidhi matakwa ya wateja wao na hii yote ni gharama kubwa kwao (Tanelec) kwani hapo hapo ni lazima pia washindane na Transformers toka nje ambazo nyingine hazilipiwi kodi, lakini mwisho wa siku kama ulivyosema hata waje na innovation gani maadamu sisi kama jamii hatubadiliki bado tu watu wataendelea kuiba na cha kusikitisha zaidi wanaoiba ni hao hao mafundi wa Tanesco ambao wengine wamo humu (JF) wanachangia kila siku na kulalamikia ufisadi Tanzania!

  Mimi Tanelec nawakubali sana ndio kiwandaa pekee Tanzania ambacho kweli unaweza ukaona kinafanya uzalishaji wa kweli na kuexport nje ya nchi,na wanajitahidi sana ukilinganisha na ugumu wa mazingira uliopo!

   
 11. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  TANELEC, kazi nzuri.
  Serikali hata kuzuia wizi wa mifuniko ya chamber, soko la vyuma chakavu inashindwa.
   
Loading...