TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF.LIPUMBA"
TANDAHIMBA
Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima
kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya kulitumikia Taifa letu kwa
muda mrefu wanaishi katika dimbwi la umasikini wa kutisha.
Hatua kwa hatua kila mzee
atakuwa na haki ya kulipwa kila mwezi fao la uzee kwa ajili
ya afya na hifadhi yake.