A ASHURAY ABDALLAH Member Joined Apr 10, 2014 Posts 15 Reaction score 25 Apr 11, 2014 #1 Jamani nisaidieni, nasikia kuna kazi zimetangazwa na tanapa, lakini mi nimetafuta cjaona, nisaidieni kama ni kweli niapply..
Jamani nisaidieni, nasikia kuna kazi zimetangazwa na tanapa, lakini mi nimetafuta cjaona, nisaidieni kama ni kweli niapply..
T tha baptist Member Joined Dec 3, 2012 Posts 16 Reaction score 0 Apr 11, 2014 #2 kijana hazijatangazwa na TANAPA directly but zimetangazwa na utumishi pitia web yao PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS ni tangazo la tarehe 1 April 2014
kijana hazijatangazwa na TANAPA directly but zimetangazwa na utumishi pitia web yao PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS ni tangazo la tarehe 1 April 2014
Danny Massawe JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,299 Reaction score 765 Apr 11, 2014 #3 Ni wildlife division sio tanapa wanataka watu wa cheti pansiasi