TANAPA wametoa ajira za kumwaga

TANAPA wametoa ajira za kumwaga

wameshachaguana, hii ni geresha tu! age ya 30 watawatema wengi! tunaanza shule na miaka 12, umalize Univ ... above 30!
Ila mkuu jaribu huwezi jua MUNGU YUPO NA WW trust me believe on yourself,mimi mwenyewe ni mfanyakazi wa idara hii ya maliasili na utalii nilikuwa na mawazo kama yako lakini sikuogopa kujaribu na nilipata pasipo kuwa na mtu yeyote juu wa kunishika mkono......TRUST IN GOD,HE CAN MAKE A WAY WHERE IT SEEMS NO WAY.........TRY,BELIEVE,RECEIVE.
 
Asante for well wishes. Anyway nimemaliza UDSM 1983! Sitafuti kazi.... Uko kituo gani?
 
Ila mkuu jaribu huwezi jua MUNGU YUPO NA WW trust me believe on yourself,mimi mwenyewe ni mfanyakazi wa idara hii ya maliasili na utalii nilikuwa na mawazo kama yako lakini sikuogopa kujaribu na nilipata pasipo kuwa na mtu yeyote juu wa kunishika mkono......TRUST IN GOD,HE CAN MAKE A WAY WHERE IT SEEMS NO WAY.........TRY,BELIEVE,RECEIVE.
Asantee mkuu kwa kutupa moyo
 
inatakiwa ifike kipindi hizi nadharia tuachane nazo maana zitatusumbua sana........WHAT YOU PUT IN....IS WHAT YOU GET OUT
Kweli mi naamini hivo maana kuna watu nawajua wamepata chance bila kujuana kabisa.
 
Ila mkuu jaribu huwezi jua MUNGU YUPO NA WW trust me believe on yourself,mimi mwenyewe ni mfanyakazi wa idara hii ya maliasili na utalii nilikuwa na mawazo kama yako lakini sikuogopa kujaribu na nilipata pasipo kuwa na mtu yeyote juu wa kunishika mkono......TRUST IN GOD,HE CAN MAKE A WAY WHERE IT SEEMS NO WAY.........TRY,BELIEVE,RECEIVE.

Mtu mwenye miaka 32 nae asikate tamaa ajaribu tu?

TANAPA wameanza ubaguzi wa aina yake.

Wanaweza kutuambia sababu za kuhitaji watu wasiozidi miaka 25 na 30 kwenye kazi zao.
 
Wasiwabanie madogo ambao wengi wamemaliza vyuo na umri umenda zaidi ya Miaka 30,Utumishi kigezo cha mwisho kuajiriwa ni Miaka 45 iweje waweke 30.
 
Ila mkuu jaribu huwezi jua MUNGU YUPO NA WW trust me believe on yourself,mimi mwenyewe ni mfanyakazi wa idara hii ya maliasili na utalii nilikuwa na mawazo kama yako lakini sikuogopa kujaribu na nilipata pasipo kuwa na mtu yeyote juu wa kunishika mkono......TRUST IN GOD,HE CAN MAKE A WAY WHERE IT SEEMS NO WAY.........TRY,BELIEVE,RECEIVE.
Thanks for your encouragement mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is a matter of time, nawe ukijaliwa utafika umri huo. Au unaomba usifike? maana Duh yako as if ni fedheha kuwa na umri huo!
Nimefurah sana kuona bado upo active kwenye mitandao, fedheha kivip wakat naona raha pale unaposhuhudia watoto wako wakikua wakioa na kuoelewa,
Raha sana
 
sasa kijana wangu uategemea nini kama 1983 nilikuwa graduate wa UDSM! At that time there was one university! Only those well-updated upstairs were able to be enrolled there! And therefore the possibility of one being active in terms of ICT literacy even at old age is very high as we occupied high positions in academic circles (not administrative posts, at least for me)
 
Back
Top Bottom