TANAPA wamefikia wapi ajira zao?

Ukubwa

Member
Feb 4, 2019
5
0
habari wana jamvi ni takriban miezi zaidi minne toka tanapa watangaze ajira na kuita kwenye usaili kada moja ya 'park rangers' nafasi zingine bado nimeleta kwenu kujua endapo kuna yeyote aliyeitwa kwenye nafasi zingine na kama kuna taratibu zingine zinaendelea
 
Hayo mashirika yana neema,interviews hizi huwaga wanazifanya ili mradi kufuata protocol za uajili,inawezekana watu washamaliza kimya kimya.
 
Back
Top Bottom