TANAPA waanza usaili


G

Glory Ambroce

Member
Joined
May 18, 2015
Messages
37
Points
0
G

Glory Ambroce

Member
Joined May 18, 2015
37 0
Kwa mlio apply Tanapa wameita watu kwenye usaili gazeti la Mwananchi 15/6/2015 lina majina.
 
bukoba04

bukoba04

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
1,337
Points
2,000
bukoba04

bukoba04

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
1,337 2,000
kaka, kama unalo gazeti naomba utupie majina hapa kwa kupiga picha...

tumechelewa wengine ss wa mikoani kupata taarifa na hata kupata hilo gazet
 
ldd

ldd

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
794
Points
225
Age
35
ldd

ldd

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
794 225
Wabongo taabu, walioitwa ni waliomba nafasi ya chuo Pasiansi na wala si Tanapa.
 
R

Raqeeb

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Messages
245
Points
195
R

Raqeeb

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2015
245 195
Wabongo taabu, walioitwa ni waliomba nafasi ya chuo Pasiansi na wala si Tanapa.
Mtoa mada hajielewi na hizo nafasi tangu jana majina walioitwa kwenye usahili wa chuo pasiansi yapo ila amemeza TANAPA
 
C

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
1,019
Points
1,225
Age
30
C

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
1,019 1,225
kazi kweli ipo
 
shemweta91

shemweta91

Senior Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
101
Points
195
shemweta91

shemweta91

Senior Member
Joined Sep 4, 2013
101 195
mnatutisha jamani wengine tuna presha ya chini
 
Chuku boY

Chuku boY

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2014
Messages
601
Points
225
Chuku boY

Chuku boY

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2014
601 225
Mbona Sielewi? taarifa hizi zina ukweli wowote? mnaojua mtuthibitishie jamani kwa msaada zaidi.
 

Forum statistics

Threads 1,283,909
Members 493,869
Posts 30,805,755
Top