Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Bravooo!!!
Ambaye hajui ndiye anayelaumu
Ambaye hajui ndiye anayelaumu
Mkuu
unamwamsha CAG ina maana hapo hakuna lolote zaidi ya ulaji tu? Ama unakusudia kusema neno halafu ukasita tafadhali sema nasi tujue. Nchi hii ina mambo mpaka woga
Nadhani kama hakuna fitna ni hatua nzuri.
Kuna watu japo kuwa ni wa TZ hawapendi kabisa kuona jambo zuri linafanyika kwa watanzania.
Huoni kuwa tunatangaza utalii?
Jifanuye unajua wakt hujui wait and see utakuja hapa
The players wore special t-shirts ahead of the home clash with Liverpool following the announcement of the clubs new partnership with Tanzania, which sees the country become the Official Destination Partner of Sunderland AFC.
SAFC - Tanzania shirts
SAFC - Tanzania partnership announced
View attachment 126248
View attachment 126250
View attachment 126252
kwa mujibu wa tafiti zilizofanyika watalii wengi wanaokuja nchini wanakuja baada ya kusimuliwa na wenzao dili nyingi za kutangaza utalii ni kujitengenezea ulaji kila siku tunasikia timu zetu za ngumi na riadha zinapoenda kuwakilisha mashindano ya kimataifa zinalalamika kushindwa kufanya maandalizi kutokana na ukosefu wa pesa kwanini tanapa hazizisaidii kwani zikifanya vyema zitaitangaza vizuri nchi yetu halafu wanatudanganya sunderland wanakuja kuwekeza kwenye soka Tanzania kumbe ni pesa za TANAPA tujifunze kwa nchi zinazoendelea kwenye utalii duniani wanatumia njia gani kutangaza utalii wapo pia tuangalie kwenye takwimu watalii wengi wanatoka wapi ,tuangalie gharama za hoteli zetu,miundo mbinu ya kwenda kwenye vivutio vya utalii hapo ndio tutajua kama uwekezaji huo ni sahihi