Pamoja na dollar zote wanazokusanya kila siku lakini hata website tu wameshindwa,
www.tanzaniaparks.go.tz seemsto be dysfunctional.
Wanatangaza kazi, wanasema uombe online, sasa fungua hiyo website ya Tanapa utaelewa tunakoelekea. Au walitangaza geresha tu?