Tamthiliya ya Kihindi Beintehaa

Tamthiliya ya Kihindi Beintehaa

fadtanji

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
768
Reaction score
999
Hivi kuna wadau wanaifatilia hii tamthiliya nzuri ya kihindi ya Beintehaa? Kiukweli mie naipenda naomba kama kuna watu wanaifatilia tupeane upadate.
 
Duh jmn! Sasa wakili anavyompenda Aaliya jmn atamwacha salama kweli? Hv pia atamwoa halafu aishi nae tu bila kumufanya chochote!?

Sent using Jamii Forums mobile app
hatomfanya lolote kwani si wanaigiza wale! Kwani Zain anamfanya kweli Aaliya!? But niliangaliaga kitambo sana Color Tv Zain atateseka sana kumrejesha Aaliya, Rehan atakua anatoa Talaka ila talaka ya mwisho atamzungusha Sana'a mpaka siku ambayo Zara atakaribia kupata ajali na Zain atamuokoa na kugongwa yeye badala ya mtoto,hapo Rehan atamlipa Zain akiwa mahututi hosptital kwa kumpa Aaliya talaka ya 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hatomfanya lolote kwani si wanaigiza wale! Kwani Zain anamfanya kweli Aaliya!? But niliangaliaga kitambo sana Color Tv Zain atateseka sana kumrejesha Aaliya, Rehan atakua anatoa Talaka ila taraka ya mwisho atamzungusha Sana'a mpaka siku ambayo Zara atakaribia kupata ajali na Zain atamuokoa na kugongwa yeye badala ya mtoto,hapo Rehan atamlipa Zain akiwa mahututi hosptital kwa kumpa Aaliya talaka ya 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay maana nliwaza Aaliya asije kurudi kwa zain na mimba ya Rehan halafu utamu wa mchezo ukaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hatomfanya lolote kwani si wanaigiza wale! Kwani Zain anamfanya kweli Aaliya!? But niliangaliaga kitambo sana Color Tv Zain atateseka sana kumrejesha Aaliya, Rehan atakua anatoa Talaka ila talaka ya mwisho atamzungusha Sana'a mpaka siku ambayo Zara atakaribia kupata ajali na Zain atamuokoa na kugongwa yeye badala ya mtoto,hapo Rehan atamlipa Zain akiwa mahututi hosptital kwa kumpa Aaliya talaka ya 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumfanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom