Tamthilia za nje.

Tamthilia za nje.

Musa Sudai

Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
13
Reaction score
4
mbona tamthia nyingi za nje kwetu zinachelewa kuja. Mf: ni tamthilia ya ki Mexico inayorushwa na kituo cha ITV, LA FUERZA DEL DESTINY (the power of Destiny) ilitoka mwaka 2011 ila si tunaicheck leo 2014 nini tatizo?
 
Mkuu TV Station mpaka kurusha kazi ya mtu/kampuni (hizo tamthiliya) inahitaji pesa, na mara nyingi tamthiliya inavyotoka huwa TV Station moja inachukua exclusive rights (au inachangia kabisa katika utengenezaji wa hio kazi) sasa baada ya hiyo station kuonyesha kwanza hio kazi mpaka itakapoisha ndio hapo wanapoweza kuanza kuuza kwa watu wengine.

Huenda kama TV za huku zikitoa Dau kubwa wanaweza wakapewa mapema, lakini hio gharama kubwa kwa soko / sponsorship wanazopata TV za huku huenda zikapata hasara
 
Back
Top Bottom