Tamthilia ya Jin Tai Lin ya TBC

Tamthilia ya Jin Tai Lin ya TBC

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Habari wandugu.
kuna tamthilia flani ya kichina inarushwa tbc imetafsiriwa kwa kiswahili....please naomba alie na hii series tuwasiliane...niko tayari kuchangia gharama kidogo..akipenda.
 
Walivyo itafsiri ndio inavutia zaidi, sio kutumia akina rufufu ambao kudanganya kwingi, pale unapata maneno ya live.
 
Habari wandugu.
kuna tamthilia flani ya kichina inarushwa tbc imetafsiriwa kwa kiswahili....please naomba alie na hii series tuwasiliane...niko tayari kuchangia gharama kidogo..akipenda.

Hivi kuna wananchi ambao bado wanatizama tbc?!
 
jamani mwenye uwezo wa kuniambia jinsi ya kupata tamthilia ya Jin Tai Lang anisaidie nimeomba
 
Back
Top Bottom