Tamko rasmi la Ray kifo cha Kanumba


yah naona kijana ameona anageuzwa punching bag kuhusiana na kifo cha jamaa kaona nae ajitetee
 
Dogo usitupotezee muda tuna mambo meengi ya kujadili pamoja na kuukimbiza huu pepo upitao.Ukweli unao mwenyewe kwenye nafsi yako kama ni kweli au la,Neeeeeeeeext!
 
Huku ni kutapa tapa.Ni bora akae kimya tu na time will tell. Kujibu jibu kunaweza kukafanya watu wawe na doubt kutokana na maandishi aliyoandika
 
Alikuwa mtu wa tatu kuambiwa,,baada ya nani na nani? nani alimwambia?
 
Hapo, waliomshauri Ray walikosea. Skendo kama hili alipaswa tu ku-mute. Hapa kweli anaweweseka tu.

Akikaa kimya watu si ndo watachukulia kama ni kitu cha ukweli bora tu avunje ukimya pia Mungu yupo atadhihirisha ukweli na kumuumbua kama ni mtu alihusika ktk kifo
 
Nae hakukutana na kanumba barabarani! Teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ