TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

Status
Not open for further replies.
Nashauri mheshimiwa apinge dhidi ya takwimu zilizotolewa badala ya kutoa maelezo ya jumla. Mfano: tarehe fulani sikukuta na fulani sea cliff siku hiyo nilikuwa jimboni..., simu yangu namba fulani haijawahi kutuma mpesa kwa namba fulani ....n.k mbona ni mh ni mchambuzi mzuri wa mambo? Na kwa hili je?
 
HIVI Mwita Maranya UMEJIULIZA KWANINI Henry Kilewo TENA KIONGOZI NDANI YA CHAMA KABANDIKA HIYO REPORT KWENYE BLOG YAKE?

HIVI UMEJIULIZA KWANINI DR SLAA ALITOA LIKE KWENYE COMMENT YA KUMKASHIFU NAIBU KATIBU MKUU?

HIVI UJIULIZI KWANINI HADI LEO CHAMA HAKIJATOA UFAFANUZI KUHUSU HIYO REPORT INAYO WAHUSU VIONGOZI WA CHAMA?

Hivi kwenye hayo utawatenganisha vipi na hili swala?
 
Last edited by a moderator:
yetu macho
vipi na ile tarifa ya kuchukua posho PAC nk kakanusha pia?
bora Zito ukae kimya ukiwa mpambanaji lazima ukumbane na vikwazo vyote hivo
kama hakuna ukweli wa taairfa hiyo zipuuze pambana, kama zina ukweli tutajua sisi wananchi.
kujibu jibu huku kunakupunguzia credibility..
wenzetu wanasema ukitaka kumjua mwaafrika muulize jambo hata kama ni la uongo au ukweli lazima atajitetea kwa makala ndefu sana....Kusema maneno mawili tu inatosha,, yaani SIO KWELI AU NI KWELI.

Mathayo 5:37
Ukisema ‘Ndio’ basi iwe ‘Ndio’; na ukisema ‘Hapana’ basi iwe ‘ Hapana.’ Lo lote zaidi ya haya hutoka kwa yule mwovu.”
 
1452117_567094976694419_624813072_n.jpg

CC:Yericko Nyerere,Ben Saanane+misukule majitaka team
 
Zitto ni pandikizi, tuling'oe katika chama. Anakuja hapa na vitisho, nani anaogopa mkono wa sheria?. Kwa taarifa yako hatumwogopi hata na rafk yako Zoka. Wang'oa kucha na macho wakubwa ninyi. Dhambi mliyoifanya kwa Kibanda na Mwangosi itawaangukia. Kama ni kufa utakufa tu kinachokuogopesha nini?. Utishiwe maisha ama usitishiwe utakufa tu. Nitaunga mkono chanzo chochote kitakachoharakisha mauti yako. Iwe ugonjwa ama la.

...Temea mate chini!!Utatangulia wewe kabla yake...
 
Hii taharifa ni ya oungo kabisa, Zitto anadai hajawahi kukutana na Dr. Kimei hata siku moja? huu ni uongo wa kupindukia

...Kwanini ni uongo?na kwanini unaamini ni lazima Zitto awe ameshawahi onana na Dr Kimei?...
 
Kweli ?....Unadhani mahakamani ni kwenye klabu za pombe za kienyeji?

wewe unatakiwa ukajieleze kwa kusambaza ----- huu,na watanzania watakuwa wametendewa haki kama utawaeleza kwa kina ni akina nani wanaokutuma kuchafua watu kwa ujinga kama huu,ila kama ulifanya baada ya kunywa pombe zako za kienyeji unaweza samehewa!
 
Slaa bora aombe radhi tu kwa jaribio hili la kumchafua Zitto.

Ukimya wake unazidi kuiumiza Chadema.

Slaa anahusika vp hapa? Yaani Zitto ahongwe mabilioni ya pesa kukiangamiza chama halafu Slaa amtetee?. Na Dr Slaa anavyochafuliwa humu nani huwa anamtetea?. Ngoja atetewe na wanaCCM wenzake.
 
nitarudi baadaye sanaaa, but zitto hakuna siri ya wawili duniani kuna siri ya mmoja tu..... Poa tumekusikia.

Hiyo siri utakwenda kuitoa mahamani,sasa ndio mtajua Zzksio mbulula kama nyinyi, haya tukioneni mkiwaunga mkono nahuko kwa polato. Safi sana zzk kemesha hao wanaotumwa kijinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom