Tamko la wanavuguvugu wa UDSM kuhusu hela za field

Mkuu ndio umemaliza hapo? Hebu tujuze zaidi bhanaaa unakuwa kama sio msomi!
 
Revolution square ya siku hizi imepandwa ukoka na kuzungushiwa fence, au mna nyingine Wana "Vuguvugu"??? Anyway.. Ngoja tumalize mkutano Kwanza huku Kati..
 
Tamko sijui limeandikwa na division 5? Hawa ndo wasomi wetu!!
 
Yaani wanafunzi kimya tupu,hivi hao marais vyuoni mnawachaguaga wawaibie?.hebu chukueni hatua kali zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…