Tamko la serikali

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
Tutaendelea na utaratibu wa kupiga mabomu kila juma 5,kuanzia saa 2:30 hadi saa 5 usiku,mpaka WATANZANIA kwa hiari yenu mtakapokubali deni la Dowans lilipwe!baada ya kuanza na maeneo ya gongolamboto,kitunda,kivule,kalakata,segerea, majohe,tabata.
Jumatano ijayo tutapeleka mashambulizi maeneo ya kimara,mbezi,ubungo,mwenge,sinza,kijitonyama,na kwa uchache maeneo ya manzese kinondoni.
MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRIKA
 
Usimtaje Mungu kwenye jokes my dia.

Imeandikwa, Mungu hadhihakiwi
 
hapo mwisho ukeharibu ilitakiwa kusema mafisadi badala ya MUNGU, lakini ujumbe wako mzuri mkuu
 

Hata kama Ipo kwenye Forum ya Jokes lakini haipendezi, watanzania bado wana majonzi juu ya tukio hili, ni vema Sugi ukaungana ana watanzania wenzako kwenye Msiba huu wa Kitaifa kuliko kuweka kwenye Utani hili, Tujifunze kutoka kwa wengine tubadilike jamani kuna maswala ya kuweka kwenye utani lakini kwa hili ndugu umepotoka na mbaya zaidi unapomuhusisha Mungu kwenye Joke, Mdau mmoja amekwambia imendikwa kuwa MUNGU hadhihakiwi!!
 

thanks,i've learnt
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…