Tamko la Serikali: Mgomo wa Madaktari

hayo mambo ya kupanga mikoa na wilaya mpya sipendi. Ni kuongeza gharama tu kwa nchi na kugawana madaraka kwa vibaraka wao.

mikoa na wilaya mpya ni zawakina nani wakati watanzania waendelea kufa. Hi management inatakiwa iache siasa kwenye uhai wa watu
 
Tamko ni kuwa wamejipanga! Wewe unataka tamko gani? Hii ndo serikali yetu bwana
 
JK anatoa tamko kesho ijumaa kwa kuongea na wazee wa CCM mkoani Dar saa kumi jioni
 
JK anatoa tamko kesho ijumaa kwa kuongea na wazee wa CCM mkoani Dar saa kumi jioni
Rais Kikwete inadaiwa hatoweza kukutana na wazee wa Dar hii leo hadi kesho.

Taarifa zaidi tutajulishana.

Source: EA Radio
ni zaidi ya masaa 50 sasa na taarifa zote zinaonyesha kuwa waathirika ni wengi, je tamko limetoka!?

Sasa hao waathirika wafuate msimamo na ushauri wa nani ...chukulia mtu anayemtoa mgonjwa hospitali kwa mategemeo yalelele ya kuwa na imani na serikali yake kwa maana ilitamkwa hapo awali kuwa "serikali imejipanga"!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom