Tamko la Serikali juu ya mabomu ya Gongo la Mboto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la Serikali juu ya mabomu ya Gongo la Mboto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mikatabafeki, Feb 19, 2011.

 1. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  TAMKO LA SERIKALI;
  Tutaendelea na utaratibu wa kupiga mabomu kila j5,kuanzia saa 2:30 hadi saa 5 usiku mpaka Watanzania kwa hiyari yenu mtakapokubali deni la Dowans lilipwe bila kipingamizi chochote,
  baada ya kuanza na maeneo ya gongo la mboto,kitunda,kivule,karakata,segerea,majohe na Tabata, j5 ijayo tutapeleka mashambulizi maeneo yakimara,mbezi,ubungo,mwenge,sinza,kijitonyama na kwa uchache maeneo ya manzese,maeneo ya oysterbay na masaki hayataguswa kwani viongozi wengi wanaishi maeneo hayo.
  MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRIKA.
   
Loading...