Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

CAG alichoandika ni sahihi ila watafisiri wanatulidisha Kule kwenye cash based na kimsingi accrual accounting ni ngumu kuielewa kwa asiye mhasibu.
CAG na team yake wapo vizuri ktk fani,hawakupewa ushirikiano kwa jambo kubwa vile,iweje majibu ya dhalula kubalance hesabu NET!!!!!?.Majibu haya ni changa LA macho!!! Na kwa mazingira haya hayupo mwenye ubavu,weledi hakiki taarifa hizo kuanzia CAG na hata kamati maalumu ya muhimili wetu usio na meno tena.
 
Tanzania raha sana.....upepo umegeuka now.........maandamano deleted lets focus on our 1.5tr.....ntakuwa mtanzania milele....
 
Unaweza ukadhani ni vichekesho kumbe kwa mzalendo wa kweli, watu kama hawa wangeshapigwa risasi za vichwa kwa kutumia sheria ambazo hazifungamani na Ikulu or kichwa cha mtu mmoja or watu 15
 
Back
Top Bottom