Tamko la Sahara Media Group kuhusu kufungiwa vyombo vyake

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,072
Manejimenti ya Sahara media group ikizungumzia juu ya taarifa hizo imesema haijapata barua au taarifa rasmi yeyote kutoka mamlaka ya mawasilano Tanzania TCRA ya kutakiwa kufunga vyombo vyake.

Imesema wameshtushwa na taarifa hiyo ikizingatiwa kwamba wamekuwa wakilipia leseni ada zake na ada za masafa kwa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni miatano hadi kufikia mwezi October 2015.

Wamesema yamekuwapo mawasiliano ya mara kwa mara kati ya TCRA akanda ya Mwanza, makao makuu na sahara media group limited nakukubaliana juu ya utaratibu wa malipo ya ada husika.lakini menejimenti imeshangazwa na hatua hiyo ya TCRA kutanagaza kuvifungia vituo vyake kupitia kutano wa vyombo vya habaribila kujali athari zakufungia vyombo vya kitaifa kwa walaji na watoa huduma.

Sahara media group limited imekuwa ikilalamikia utozwaji wa ada kwa dola za kimarekani jambo ambalo limekuwa likipandisha ada hizo kila mara na kufanya ulipwaji wa ada hizo kibajeti kukwama kwama.

Menejimenti pia imelaani kwa taarifa hiyo kutolewa mwishoni wa wiki nakuvipa vituo husika siku mbili tu kukamilisha ulipaji ada wakijua dhahiri jumamosi na jumapili sio siku za kazi.

Menejimenti ya Star tv inawaondoa wasiwasi watazamaji na wasikilizaji wake, hatua thabiti zitachukuliwa ili kumaliza tatizo hili kwa sahara media group limited na TCRA Kwa Kufuata Misingi Ya Sheria, Kanuni Na Maridhiano.
 
Hii kampuni si ya yule mbabe wa sisiem ambae wadau walisema kuwa magu amkumbuke kwenye ufalme wake? Amakweli msumeno hukata huku na huku
 
Yah JK alitamka hadharani siku ya kufunga kampeni kwamba jamaa wa Sahara Media Bw Anthony amefanya kazi kibwa kwaiyo asimsahau pindi akiingia ikulu. Nadhani Magu atakuwa kamsahau .
 
Lipa kodi wewe acha bwembwe huku haikusaidii
Nyinyiem hoyeee!!!
Hakuna kulipa fadhila hapa ni kazi tuu.
Wale jamaa uliokuwa unawasaidia kwenye kampeni c wakusaidie kulipa deni?
 
Hebu tusubili hiyo kesho maamuzi yatakayokuwa yamefikiwa na TCRA dhidi ya hii kampuni.
 
Hebu tusubili hiyo kesho maamuzi yatakayokuwa yamefikiwa na TCRA dhidi ya hii kampuni yatakavyokuwa.
 
nlisoma ada elekezi za leseni na tozo nyingine TCRA, nimeshangaa zipo kwa USD. serikali imekuwa ikilalamika hoteli kutumia USD wakati taasisi zake zinatumia pia. kutumia USD kunawaathiri sana wawekezaji wa ndani hasa pale shilingi inapoporoka, au dola kuimarika. ingeweka bei kwa makundi; foreign & local, locals walipe kwa shilingi, foreigners kwa dola. kama vyuo tu.
 
huyo jamaa mwongo yeye kazoea maisha ya kisanii tupu miaka kenda....ndio mana maendeleo hana ungekuta now ni level ya mengi au kumzidi..ila usanii n ujuaji ndio fani yke aache porojo akalipe deni
 
Sasa kipi ndio kipi .......... mara hujapata barua rasmi............ mara haudaiwi .................mara mnatozwa kwa dollar................ mara mmepewa muda mchache na wanajua j'2 hamfanyi kazi ........... sasa tuelewe lipi ????????????
 
Wamechanganyikiwa walijua watabebwa Kama walivyiahidiwa na Vasco pamoja na Saddam wa Kuwait.
 
huyo jamaa mwongo yeye kazoea maisha ya kisanii tupu miaka kenda....ndio mana maendeleo hana ungekuta now ni level ya mengi au kumzidi..ila usanii n ujuaji ndio fani yke aache porojo akalipe deni
Unamaanisha miaka 9 jamaa halipi kodi?
 
Kalipeni kodi ya Serikali maana hakuna namna nyingine vinginevyo mtafungiwa tu, kama mkileta jeuri mtafungiwa tu, na mimi nasema mfungiwe tu maana tumechoka na wakwepa kodi
 
Unamaanisha miaka yote 9 jamaa anaishi kisanii

huyo jamaa ni kwikwi usanii kwake ni jadi mwanzo wa miaka ya 90 alikua n kiwanda kikubwa cha vyombo vya umeme kikafa....akafungua kiwanda cha metal kikafa kabla ya kuanza kazi....then akafungua kiwanda cha printing kikubwa kma kiuta nacho chali
 
Back
Top Bottom