Anasema kuendelea kukaa kimya kungepelekea watanzania kuamini propaganda za Mengi dhidi yake na yeye sasa hakai kimya tena kama mjumbe wa NEC na mtu anayeaminiwa na wananchi wa Igunga na taifa kwa ujumla kwa uchafu anaopandikiziwa na Bwana Mengi.
Anasema anamtafuta binafsi baada ya kuona yeye RA ameingia kwenye umiliki wa vyombo vya habari!
Anasema, mtu kama Mengi ambaye ana uroho, tamaa, ubinafsi uliovuka mipaka na chuki nzito hafai na si wa kukaa kimya na kufanya hivyo kutamgharimu sana.
Anasema Mengi ni mtu anayependa ugomvi na anayependa kuonewa huruma kwa kutaka kuliingiza taifa kwenye vurugu. Anasema ameanzisha ugomvi kuanzia maaskofu mpaka ze komedi.
Anasema alishagombana na DTV na CTN miaka ya nyuma na kuwazushia kuwa wanataka kumuua.
Anasema alianzisha ugomvi na Masilingi kwa kuikosa Kempinski. Anasema alianzisha ugomvi na Lowassa kwa issue za mazingira, Mramba kwa kukwepa kodi, Habari Corporation chini ya Ulimwengu over NBC scandal, Manji over Bahati Nasibu na chuki binafsi dhidi ya mgogoro wa Yanga, Malima aliyehoji dhidi ya matumizi ya vyombo vyake kumtukuza badala ya viongozi wa kitaifa. Tanil Somaiya over viwanda vyake, Masha over kuhujumiwa n.k
Hiivi huyu anaweza kweli kujibu kuhusu Kagoda? Mbona anazungukazunguka?
Anasema yote yote aliyowahusisha ni yeye mhusika na si wao. Yeye ndo ameifilisi NBC ambayo ni mali ya watanzania na akapelekea ibinafsiwe kwa bei chee.Okayyy sasa tunaelekea kuzuri.... thanks mkuu
Anasema, Mengi ni Nyangumi wa ufisadi katika Tanzania. Anasema anamwondolea ngozi yake ya kondoo ambayo anawaonyesha watanzania ili wamjue kuwa ni mbwa mwitu. Anasema anayetuhumu watu kuwa na tabia flani yeye ndiye mwenye tabia hiyo.
Just an introductory speech maybe
Anasema anamtafuta binafsi baada ya kuona yeye RA ameingia kwenye umiliki wa vyombo vya habari!
Kwa maana hiyo Dr Slaa ni fisadi? Hapo amechemshaAnasema, Mengi ni Nyangumi wa ufisadi katika Tanzania. Anasema anamwondolea ngozi yake ya kondoo ambayo anawaonyesha watanzania ili wamjue kuwa ni mbwa mwitu. Anasema anayetuhumu watu kuwa na tabia flani yeye ndiye mwenye tabia hiyo.
Fina Mango na kampuni yake ambayo ndo imepewa tenda ya kuandaa hii Press Conference. Mabaunsa wamekaa as if kuna vita inakaribia, sijui ni wa Rostam au ndo wa kampuni ya Fina Mango!?
Anasema, Mengi ni Nyangumi wa ufisadi katika Tanzania. Anasema anamwondolea ngozi yake ya kondoo ambayo anawaonyesha watanzania ili wamjue kuwa ni mbwa mwitu. Anasema anayetuhumu watu kuwa na tabia flani yeye ndiye mwenye tabia hiyo.