wewe kwa Membe Juma umeshahama!?
hakuna wa kuzuia dhoruba la mh lowassa kuingia magogoni hilo hata mzee wa kaya analijua lowasa is the 5 th president of tz sababu hakuna asiyezijua hata membe na chagadema hilo wanalijua.......
Hili tamko nimelipenda...kwamba wako hata Mawaziri...viongozi wilaya hadi Taifa ila bado mnaonewa...basi nyie wachovu!!!
Hakika hii nchi UMASKINI hautaisha na UJINGA utakuwa maskani yetu milele kama hizi habari za matamko na kushabikia vyama badala ya kuangalia mgombea havitakwisha.CHAMA CHA MAPINDUZI CCM.
YAH: TAMKO LA (MELOWAMI)
KULAANI HUJUMA ANAZOFANYIWA EDWARD N. LOWASA NA KAMATI YA MAADILI YA CCM NA MWENYEKITI TAIFA
Umoja wa Marafiki wa Mh. Edward N. Lowassa Wasio na Mipaka (MELOWAMI)
unaundwa na wanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndani na nje ya nchi.
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM.

Pia wapo mawaziri na makada wa chama chetu wakiwemo viongozi wa ccm ngazi
ya mikoa, wilaya, kata na matawi. Wapo pia wasio wanachama wa CCM.
Sisi marafiki wa Mheshimiwa Lowassa kupitia umoja wa MELOWAMI, tumekutana
usiku wa kuamkia leo na tunatoa tamko kulaani Kamati ya Maadili ya Chama
chetu ambayo iko chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mheshimiwa Rais wa
Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa
kuonyesha hujuma ya wazi wazi ambazo tunahoji zinatokana na uoga wa nini,
dhidi ya Mheshimiwa Edward Lowasa asitimize ndoto yake.
Kamati ya Maadili ya Chama mnamo Aprili mwaka huu, iliwaadhibu makada
wenzetu ndani ya CCM walioonyesha kuwa na nia ya kuwania kutumia demokrasia
ndani ya chama kuteuliwa kugombea Urais 2015, ikawaonya kwa kuwasimamisha
kwa muda wa miezi 12, akiwemo rafiki yetu na mwenzetu zaidi, Mh. Lowassa.
Lakini katika hali ya kusikitisha wakati adhabu hiyo bado ipo, baadhi ya
makada wanapewa fursa za kuendelea kupiga kampeni mbele za umma, kwa lengo
lile lile la kufanya kampeni mapema, kinyume na adhabu ya Kamati ya
Maadili, huku kamati hiyo hiyo ikionekana kibogoyo katika kuchukua hatua za
kusimamia maamuzi yake.
Baadhi yao wamekwenda mbali kama walivyonukuliwa kwenye vyombo vya habari,
wamediriki hata kutumia jina la Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ambaye pia
ni Mwenyekiti wa Chama, kuwa amewatuma kufanya kile wanachofanya ambacho
kiuhalisia ni kosa.
Umoja wetu wa MELOWAMI uliopo kwa ajili ya Mh. Lowassa tusio na mipaka,
tunataka kuhoji chama chetu hiki kwamba hii ndiyo sababu iliyofanya mkatae
hoaja yetu kwenye mkutano mkuu Dodoma?
Tunatoa siku 30 kuanzia leo 24/06/2014, Chama chetu cha CCM kwa kutumia
kamati zake kuhakikisha kinaondoa ukakasi huu katika Chama, Ikiwa
Mwenyekiti na CCM kwa ujumla watapuuza, Sisi MELOWAMI, tutachukua maamuzi
magumu yatakayokinusuru chama chetu na kunusuru Taifa.
Sisi wana CCM tunaopenda chama chetu, tunapenda kuwahimiza watanzania
popote pale walipo duniani kushirikiana nasi katika mapambano ya kudai
haki ya kuchagua na kuchaguliwa kama ilivyokuwa mila na desturi ya chama
chetu.
Tunahoji hivi chama chetu tangu lini kimeacha kusimama kwenye misingi yake
hasa maamuzi ya vikao?
Tuna imani Chama Makini Cha CCM kitaongoza mchakato wa kumpata mgombea wa
urais bora hapo 2015 ilimradi taratibu zifuatwe kwa kuzingatia matakwa ya
wanachama wengi, vinginevyo wana CCM wasishangae kuona wapinzani
wanatubwaga chaguzi zijazo.
Ahsanteni,
Imetolewa Dar Es Salaam.
Mtuya M. Lugola
Mwenyekiti wa Marafiki wa Mh Lowasa Wasio na Mipaka CCM (MELOWAMI)
,
tatizo hawataki raisi ajaye atoke kaskazini na kikwete ameshahau fadhila za don king. WATASINDANA HAWATASINDA. TEAMLOWASA

Taarifa hii ni ya uongo
Kwa uandishi huu wewe ni mmarangu kweli au feki?
Kuna post imeanzishwa humu kuhusu kukanusha habar hio.Tusaidie taarifa ya ukweli mkuu
hapo kwenye nyekundu haki ya kuwachagua watu kama rage- rage ni mwizi tena nimsomali ndiyo ccm mnataka kutumia haki hiyo kuchagua majitu kama hayo ya akina rage? Washenzi nyie