Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,571
Jana walifurumishwa Shinyanga , mpaka mmoja akaja kujitetea hapa eti yuko Zanzibar wakati alikuwa kwenye gari ya Masanja ......wakiamua kwenda Kahama wanakutana na Red BRigade imara wakashindwa kufanya walichokuwa wamepanga , kwa sasa tayari wameshaallika waandishi wa habari walioko Tabora kwa ajili ya tamko.......Kurugenzi ya ulinzi na usalama ya chama!! wafurusheni hao mamluki!!
Wasiliana na waandishi watakuwa jina la ukumbi walikoalikwa na hawa wahuni ......Nipo Tabora na ni mwanaCHADEMA. Nitatafuta wapi wanaitisha ili nikawapinge hadharani. Kifupi hadi sasa hakuna kupinga maamuzi ya kamati kuu yaliyofuata utaratibu wa Katiba ya CHADEMA.
Ipo siku watapinduka na gari sababu ya 'kuwahi' kwenda kutoa tamko kwenye mkoa mwingine unaofuata. Halafu wakipata ajali naona heri wavunjike vunjike ila wasifeVijana walioanzia Mwanza , wako Tabora muda huu baada ya kusafiri usiku kucha kutoka Shinyanga na kuweka stop Kahama , walipoona nyenzo zao wanachama halisi wa Chadema hawawaungi mkono kwa sasa wapo Tabora na wameshaallika waandishi wa habari .......
Wanaenda kutoa tamko eti viongozi wa Chadema marufuku kukanyaga ardhi ya Tabora , wakati wao wala sio wa Tabora ......more details to come , who are behind this I will let you know.
Jf , kuwa wa kwanza kujua .
Kikwete aliumbuka pale alipowapokea Shonza na Mtela , baada ya kudanganywa kuwa wao ndio nguzo kuu ya BAVICHA nabataisambaratisha .....a kaenda kuwatambulisha mpaka NEC ya CCM , ila ikawa hola .KIJANA ALIYEJIUNGA NA CCM TOKEA CHADEMA WA CHUNYA ASEMA PESA NDO ILIYOMPELEKA CCM.
Akihojiwa na kituo cha radio ya ebony fm inayorusha matangazo yake tokea mjini iringa,alipoulizwa kwanini ameamua kujiunga na ccm? Alimjibu mtangazaji kuwa yeye anatafuta pesa,ccm wamempa pesa ndo maana kaamua kujiunga nao,alipoulizwa kama cheo anachotajwa kuwa alikuwanacho cdm cha ukatibu wa cdm chunya,,yeye alisema hakuwa katibu bali alikuwa mwanachama wa kawaida ingawa amewahi kuwa katibu kipindi cha nyuma kabla ya kuvuliwa baada ya kuwekea bondi pikipiki ya chama sehemu aliyokuwa anadaiwa
chama tawala kazini - uzoefu wa kiuongozi - miaka 47.KIJANA ALIYEJIUNGA NA CCM TOKEA CHADEMA WA CHUNYA ASEMA PESA NDO ILIYOMPELEKA CCM.
Akihojiwa na kituo cha radio ya ebony fm inayorusha matangazo yake tokea mjini iringa,alipoulizwa kwanini ameamua kujiunga na ccm? Alimjibu mtangazaji kuwa yeye anatafuta pesa,ccm wamempa pesa ndo maana kaamua kujiunga nao,alipoulizwa kama cheo anachotajwa kuwa alikuwanacho cdm cha ukatibu wa cdm chunya,,yeye alisema hakuwa katibu bali alikuwa mwanachama wa kawaida ingawa amewahi kuwa katibu kipindi cha nyuma kabla ya kuvuliwa baada ya kuwekea bondi pikipiki ya chama sehemu aliyokuwa anadaiwa
Uko sahihi sana!! bahati mbaya hawajui kwamba wanapambana na CHADEMA malikia wa nyuki mwenye walinzi wengi na waaminifu. WATAENDELEA KUUMIA TU!Jana walifurumishwa Shinyanga , mpaka mmoja akaja kujitetea hapa eti yuko Zanzibar wakati alikuwa kwenye gari ya Masanja ......wakiamua kwenda Kahama wanakutana na Red BRigade imara wakashindwa kufanya walichokuwa wamepanga , kwa sasa tayari wameshaallika waandishi wa habari walioko Tabora kwa ajili ya tamko.......
Japo kazi ya ukombozi ni ngumu kutokana na umasikini na ujinga, lakini inakuwa ni kitu kibaya zaidi kuona Watanzania wanaomiliki pesa na elimu kamua kuzitumia isivyo dhidi ya wenzao, inasikitisha.KIJANA ALIYEJIUNGA NA CCM TOKEA CHADEMA WA CHUNYA ASEMA PESA NDO ILIYOMPELEKA CCM.
Akihojiwa na kituo cha radio ya ebony fm inayorusha matangazo yake tokea mjini iringa,alipoulizwa kwanini ameamua kujiunga na ccm? Alimjibu mtangazaji kuwa yeye anatafuta pesa,ccm wamempa pesa ndo maana kaamua kujiunga nao,alipoulizwa kama cheo anachotajwa kuwa alikuwanacho cdm cha ukatibu wa cdm chunya,,yeye alisema hakuwa katibu bali alikuwa mwanachama wa kawaida ingawa amewahi kuwa katibu kipindi cha nyuma kabla ya kuvuliwa baada ya kuwekea bondi pikipiki ya chama sehemu aliyokuwa anadaiwa
Vijana walioanzia Mwanza , wako Tabora muda huu baada ya kusafiri usiku kucha kutoka Shinyanga na kuweka stop Kahama , walipoona nyenzo zao wanachama halisi wa Chadema hawawaungi mkono kwa sasa wapo Tabora na wameshaallika waandishi wa habari .......