Tamko la kihuni kutolewa Tabora Punde ..wanajita wenyeviti wa Matawi ya Mkoa .

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Vijana walioanzia Mwanza , wako Tabora muda huu baada ya kusafiri usiku kucha kutoka Shinyanga na kuweka stop Kahama , walipoona nyenzo zao wanachama halisi wa Chadema hawawaungi mkono kwa sasa wapo Tabora na wameshaallika waandishi wa habari .......

Wanaenda kutoa tamko eti viongozi wa Chadema marufuku kukanyaga ardhi ya Tabora , wakati wao wala sio wa Tabora ......more details to come , who are behind this I will let you know.

Jf , kuwa wa kwanza kujua .
 
Kurugenzi ya ulinzi na usalama ya chama!! wafurusheni hao mamluki!!
 
Haahaha ccm wanaweweseka. Ila hata mm ningepata hizo hela za ccm ningezila tu maana cha mgema huliwa na mlevi
 
Uhuni wa hao jamaa unakolezwa na vyombo vya habari na waandishi wanaouza weledi na maadili ya kazi kwa kilo ya sukari.
 
Kurugenzi ya ulinzi na usalama ya chama!! wafurusheni hao mamluki!!
Jana walifurumishwa Shinyanga , mpaka mmoja akaja kujitetea hapa eti yuko Zanzibar wakati alikuwa kwenye gari ya Masanja ......wakiamua kwenda Kahama wanakutana na Red BRigade imara wakashindwa kufanya walichokuwa wamepanga , kwa sasa tayari wameshaallika waandishi wa habari walioko Tabora kwa ajili ya tamko.......
 
Nipo Tabora na ni mwanaCHADEMA. Nitatafuta wapi wanaitisha ili nikawapinge hadharani. Kifupi hadi sasa hakuna kupinga maamuzi ya kamati kuu yaliyofuata utaratibu wa Katiba ya CHADEMA.
Wasiliana na waandishi watakuwa jina la ukumbi walikoalikwa na hawa wahuni ......
 
KIJANA ALIYEJIUNGA NA CCM TOKEA CHADEMA WA CHUNYA ASEMA PESA NDO ILIYOMPELEKA CCM.
Akihojiwa na kituo cha radio ya ebony fm inayorusha matangazo yake tokea mjini iringa,alipoulizwa kwanini ameamua kujiunga na ccm? Alimjibu mtangazaji kuwa yeye anatafuta pesa,ccm wamempa pesa ndo maana kaamua kujiunga nao,alipoulizwa kama cheo anachotajwa kuwa alikuwanacho cdm cha ukatibu wa cdm chunya,,yeye alisema hakuwa katibu bali alikuwa mwanachama wa kawaida ingawa amewahi kuwa katibu kipindi cha nyuma kabla ya kuvuliwa baada ya kuwekea bondi pikipiki ya chama sehemu aliyokuwa anadaiwa
 
Vijana walioanzia Mwanza , wako Tabora muda huu baada ya kusafiri usiku kucha kutoka Shinyanga na kuweka stop Kahama , walipoona nyenzo zao wanachama halisi wa Chadema hawawaungi mkono kwa sasa wapo Tabora na wameshaallika waandishi wa habari .......

Wanaenda kutoa tamko eti viongozi wa Chadema marufuku kukanyaga ardhi ya Tabora , wakati wao wala sio wa Tabora ......more details to come , who are behind this I will let you know.

Jf , kuwa wa kwanza kujua .
Ipo siku watapinduka na gari sababu ya 'kuwahi' kwenda kutoa tamko kwenye mkoa mwingine unaofuata. Halafu wakipata ajali naona heri wavunjike vunjike ila wasife
 
KIJANA ALIYEJIUNGA NA CCM TOKEA CHADEMA WA CHUNYA ASEMA PESA NDO ILIYOMPELEKA CCM.
Akihojiwa na kituo cha radio ya ebony fm inayorusha matangazo yake tokea mjini iringa,alipoulizwa kwanini ameamua kujiunga na ccm? Alimjibu mtangazaji kuwa yeye anatafuta pesa,ccm wamempa pesa ndo maana kaamua kujiunga nao,alipoulizwa kama cheo anachotajwa kuwa alikuwanacho cdm cha ukatibu wa cdm chunya,,yeye alisema hakuwa katibu bali alikuwa mwanachama wa kawaida ingawa amewahi kuwa katibu kipindi cha nyuma kabla ya kuvuliwa baada ya kuwekea bondi pikipiki ya chama sehemu aliyokuwa anadaiwa
Kikwete aliumbuka pale alipowapokea Shonza na Mtela , baada ya kudanganywa kuwa wao ndio nguzo kuu ya BAVICHA nabataisambaratisha .....a kaenda kuwatambulisha mpaka NEC ya CCM , ila ikawa hola .

Kinana naye hakujifunza , naye kuingizwa Chochote na Mulugo kuwa huyu ni katibu wa Chadema , kumbe mwanachama wakawa idea sasa aibu yao.....
 
KIJANA ALIYEJIUNGA NA CCM TOKEA CHADEMA WA CHUNYA ASEMA PESA NDO ILIYOMPELEKA CCM.
Akihojiwa na kituo cha radio ya ebony fm inayorusha matangazo yake tokea mjini iringa,alipoulizwa kwanini ameamua kujiunga na ccm? Alimjibu mtangazaji kuwa yeye anatafuta pesa,ccm wamempa pesa ndo maana kaamua kujiunga nao,alipoulizwa kama cheo anachotajwa kuwa alikuwanacho cdm cha ukatibu wa cdm chunya,,yeye alisema hakuwa katibu bali alikuwa mwanachama wa kawaida ingawa amewahi kuwa katibu kipindi cha nyuma kabla ya kuvuliwa baada ya kuwekea bondi pikipiki ya chama sehemu aliyokuwa anadaiwa
chama tawala kazini - uzoefu wa kiuongozi - miaka 47.
 
Jana walifurumishwa Shinyanga , mpaka mmoja akaja kujitetea hapa eti yuko Zanzibar wakati alikuwa kwenye gari ya Masanja ......wakiamua kwenda Kahama wanakutana na Red BRigade imara wakashindwa kufanya walichokuwa wamepanga , kwa sasa tayari wameshaallika waandishi wa habari walioko Tabora kwa ajili ya tamko.......
Uko sahihi sana!! bahati mbaya hawajui kwamba wanapambana na CHADEMA malikia wa nyuki mwenye walinzi wengi na waaminifu. WATAENDELEA KUUMIA TU!

Hii ni aibu kwa Serikali ya CCM ambayo mpaka leo imeshindwa kulipa mshahara wa mwezi novemba kwa watumishi wa umma huku ikiendelea kutapanya fedha za walipa kodi kwa mambo ya kifedhuli na yasiyokuwa na tija yoyote kwa mustakabali wa nchi ya Tanzania. Kwao kufadhili uovu ni rahisi sana lakini kugharamia mambo ya msingi yenye tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla inakuwa vigumu kwa kisingizio kuwa serikali haina fedha.
 
Dawa ya hawa wapambe wa Zitto ni kuwaumbua live na kuwapinga hadhaani,lkn njia pekee nadhani ni kueafungulia mashitaka ya kujibambika vueo vya chadema wakati sio.
 
Hawa mamuruki ninyi muwazukie kwenye ukumbi na kuwaomba wawapeleke kwenye matawi yao. Mgharimike kidogo ili muweze kukomesha Tabia hiyo kwa kuwapeleka mahakamani kama hawatakuwa viongozi katika matawi wailiyoyataja. Mkifika huku itisheni mikutano ya hadhara halafu elezeni kila kitu wazomewe na hiyo itakuwa imehimalisha chama sana.
 
Ila hii ccm ya sasa ishakufa siku nyingi, yaani experience yao ya miaka takribani 50 ndio hii ya kununua mamluki na kuwasafirisha usiku na mchana kwenda mikoani kutoa matamko??
Ccm iko ICU na haitapona kamwe.
 
KIJANA ALIYEJIUNGA NA CCM TOKEA CHADEMA WA CHUNYA ASEMA PESA NDO ILIYOMPELEKA CCM.
Akihojiwa na kituo cha radio ya ebony fm inayorusha matangazo yake tokea mjini iringa,alipoulizwa kwanini ameamua kujiunga na ccm? Alimjibu mtangazaji kuwa yeye anatafuta pesa,ccm wamempa pesa ndo maana kaamua kujiunga nao,alipoulizwa kama cheo anachotajwa kuwa alikuwanacho cdm cha ukatibu wa cdm chunya,,yeye alisema hakuwa katibu bali alikuwa mwanachama wa kawaida ingawa amewahi kuwa katibu kipindi cha nyuma kabla ya kuvuliwa baada ya kuwekea bondi pikipiki ya chama sehemu aliyokuwa anadaiwa
Japo kazi ya ukombozi ni ngumu kutokana na umasikini na ujinga, lakini inakuwa ni kitu kibaya zaidi kuona Watanzania wanaomiliki pesa na elimu kamua kuzitumia isivyo dhidi ya wenzao, inasikitisha.
 
Vijana walioanzia Mwanza , wako Tabora muda huu baada ya kusafiri usiku kucha kutoka Shinyanga na kuweka stop Kahama , walipoona nyenzo zao wanachama halisi wa Chadema hawawaungi mkono kwa sasa wapo Tabora na wameshaallika waandishi wa habari .......

Wanaenda kutoa tamko eti viongozi wa Chadema marufuku kukanyaga ardhi ya Tabora , wakati wao wala sio wa Tabora ......more details to come , who are behind this I will let you know.

Jf , kuwa wa kwanza kujua .

Chadema tuko imara kwa kudura za mwenyezi mungu, wao waendelee kutoa matamko sisi tunasonga mbele.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom