Tamko La Jeshi Jana TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko La Jeshi Jana TBC1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Feb 19, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Jana wakati jeshi la Tanzania linatoa hoja tofauti pamoja na kujibu maswali ya waandishi wa habari kutokana na milipuko ya mabomu yaliyotokea kule G/Mboto na kuadhiri maisha ya Watanzania, nilimsikia mkaguzi mkuu wa JWTZ Brigedia-Jenerali Leonard Mndeme alitoa sababu tofauti ambazo zinaweza kuchangia kulipuka kwa mabomo yale, lakini pia hakujaribu kugusia pia kama kunaweza kukawa na uwezekano wa hali ya maisha duni kwa wanajeshi wa Tanzania ambayo sio kitu cha kuficha hata sisi wananchi tunaona hali ya polisi pamoja na wanajeshi ilivyo, je haipelekei kwa jeshi hilo kwanjia fulani wakajitokeza wanajeshi ambao kwa lugha ya kijeshi mnasema kutokua na nidhamu wakahusika kwa njia moja au nyingine kulihujumu jeshi hilo kwa kutokukidhi maslahi ya wanajeshi au kikundi fulani jeshini hapo? Nawasilisha hoja.
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  je hoja yako ni nini? unamaansha kuwa hayo mabomu yalilipuliwa na baadhi ya wanajeshi walioasi?
  maybe??
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ebu tufafanulie vzuri tuelewe mkuu
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  yote yanawezekana lakini nani wa kuchunguza , hata kama kuna hujuma Amiri Jeshi Mkuu Ndiye kamteua Mkuu wa Majeshi TZ unategemea uchunguzi gani kwenye jeshi, ingekuwa ni mambo ya kisiasa sana lakini huku paala nyeti, ndio maana hata mtu wa kawaida hawezi kufika, unaweza kufika Kijitonyama UWT lakini Jeshi ni noma huwa hamwamini mtu
   
 5. d

  dee Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nchi hii sasa tunaishi kama KAMBALE
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kamanda asante kwa upeo ulionao natumaini habari ndio hiyo kwa hawa wanaGreat Thinkers kwa maswali walio uliza!
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hoja yangu nikua vyote ambavyo tumeambiwa na wakuu hawa wa jeshi vinaweza kutokea, lakini hili langu pia lisiwe la kupuuzwa tufanye utafiti!
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwa uelewa mdogo tu hii sababu si ya kuipuuzia, inabidi na yenyewe ichunguzwe pia.... inawezekana vipi wanaoishi hapo kambini asidhurike hata mmoja????:A S 13:
   
 9. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kuwa hawakuadhirika?walikuwa wap?waliondoka kabla?
   
Loading...